Tujuzane mipangilio(setting) mhimu kwenye simu zetu, hasa developer options

Tujuzane mipangilio(setting) mhimu kwenye simu zetu, hasa developer options

Wasap jau labda telegram ambako hata mtu aliejoin leo anaaeza pata chat zote za mwanzo toka group linafunguliwa
Maoni wadau kwanini lisifunguliwe group la WhatsApp kuhusu Setting mbalimbali za Simu tutumiazo
 
Simu nyingi za Android, hii option ya Developer option imekuwa deactivated na hidden, ili kuiactivate unabidi uingie Settings>About device>Software info>Build number. Kwenye hiyo build number, unabidi uiclick kama mara 7 hivi mfululizo then baada ya hapo itakuwa available kwenye simu yako.
Then utaifungua hapo kwenye settings then utaienable.
Duh! Emb ngoja
 
Huko ndiko ziko smartphones unique,Kwa kuwa wanauza simu ambazo market target yao ni nchi zilizoendelea.Ni used huko nje lakini unazipata zikiwa clean kabisa.
Nataka zile za muonekano tofauti,
Utapata Sony, iPhone,LG, Siemens,NOKIA, ALCATEL, Xiaomi,Oppo, OnePlus, Samsung, Huawei/Honor,HTC,ZTE na nyinginezo kali.
 
Mimi nipo Nyamagana nipe location na bei zipoje tusije kushikishwa tuu.
Location ndiyo hiyo,fuata hiyo line nyekundu ukitokea kituo cha mabasi CENTRAL hadi kwenye jengo hilo,lina kama ghorofa ya chini...Hapo utaona maduka ya simu kali used.Kumbuka simu hizo siyo feki wala mbovu,wanauza simu nzuri sana.Nimekuwa nikinunua simu hapo kwa miaka minne sasa.
PicsArt_10-11-10.53.22.jpeg
 
Maoni wadau kwanini lisifunguliwe group la WhatsApp kuhusu Setting mbalimbali za Simu tutumiazo
Magroup yapo mengi mkuu,ni wewe hujauliza wadau.Ukitaka wakuunge watakuunga.Tuliwahi kuanzisha group la MICROSOFT LUMIA WORLD back in 2015,hapo tulikuwa tunapeana tips za kutumia Windows phones,lakini tulikuja kupoteana kutokana na Nokia& Microsoft kusitisha Customer Support mwaka 2018 ikafuatiwa na kuacha kuzalisha hizo simu,na pia Wale wenye APPS zao kwenye Windows phone store wakasitisha updates.
 
mambo vip mkuu mimi nina samsung j3 nikiplay video au audio inapause yenyewe mpaka uplay tena upya ndio inaendelea tatizo linaweza likawa ni nn mkuu?
Nakushauri uache kutumia hizo default media players,tumia VLC media player Kwa video(hii ni nzuri sana kwa video na audio kiasi),Kwa audio download POWERAMP au JET AUDIO.

Unatakiwa kutafuta hizo APPS apk kwenye Google, usiende kwenye playstore kule zina trial ukitumia after 12-15 days trial inaisha.
 
Duh nimefanikiwa ila setting kibao nimeshindwa kuzielewa.
 
Location ndiyo hiyo,fuata hiyo line nyekundu ukitokea kituo cha mabasi CENTRAL hadi kwenye jengo hilo,lina kama ghorofa ya chini...Hapo utaona maduka ya simu kali used.Kumbuka simu hizo siyo feki wala mbovu,wanauza simu nzuri sana.Nimekuwa nikinunua simu hapo kwa miaka minne sasa.View attachment 1230116
Mkuu nikifika hapo kuna maduka kabisa ama ni simu za deal kwa maana kwamba mpaka niulize wadau.
 
Kuna maduka mengi sana.Hapo utapata simu kali za kijanja ambazo siyo kawaida kuziona katika mazingira yetu.
Mkuu nikifika hapo kuna maduka kabisa ama ni simu za deal kwa maana kwamba mpaka niulize wadau.
 
Hapo unaenda setting then unashuka mpk chin kabisa then utaona about phone then build namba gusa pale mpaka itokee neno youw developer now then utarudi sasa

Hiyo ni OS gani? Ni Android or? Mbona hujatuelekeza jinsi ya kuifikia hiyo developer options, pia hizo options zina maana gani, tusaidie mkuu.
[/QUOTE]
 
Hapo unaenda setting then unashuka mpk chin kabisa then utaona about phone then build namba gusa pale mpaka itokee neno youw developer now then utarudi sasa

Hiyo ni OS gani? Ni Android or? Mbona hujatuelekeza jinsi ya kuifikia hiyo developer options, pia hizo options zina maana gani, tusaidie mkuu.
[/QUOTE]
Pitia text zote kwenye hii thread between lines utapata Kila kitu wadau wameelekeza kufikia hiyo option ya "Developer option"
 
Back
Top Bottom