Heri ya xmass wapendwa husika na kichwa cha habar hpo juu .mi nakumbuka mwaka Jana kila nikitongoza nakataliwa mpaka nikasema mimi nitakufa kivyAngu...na wewe je??
Wote niliotongoza wakakataa nilikuja kuwala kirahisi sana baada ya maisha kuwapeleka mbio hadi leo ndoano yangu ilizama majini lazima ije na samaki tena Kibua.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.