Hii ipoje mkuu hebu dadavua kidgoS8 kiboko yao
Gusa unase mazimaView attachment 481040
Entebaa by rasasi
Iko poa sana, huezi amini nimejipulizia mara mbili tu kwa wiki saiv mpaka jasho langu linanukia hii perfumeHii ipoje mkuu hebu dadavua kidgo
Weka na zile hela zake mkuuIko poa sana, huezi amini nimejipulizia mara mbili tu kwa wiki saiv mpaka jasho langu linanukia hii perfume
Weka na bei zake na wasifu wake tupate hamasaView attachment 481455 View attachment 481456 View attachment 481457 View attachment 481458 View attachment 481459
SKINN by Titan Steele Man
Adidas Star Edition UEFA Champions League
Adidas Ice Dive
Just Cavalli by Roberto Cavalli
Tuwekeen na bei maana tunapenda tuwe na harufu tofauti kulingana na mitoko tofautiIko poa sana, huezi amini nimejipulizia mara mbili tu kwa wiki saiv mpaka jasho langu linanukia hii perfume
66,000/= mkuuWeka na zile hela zake mkuu
Hii ni 66,000/= mkuuTuwekeen na bei maana tunapenda tuwe na harufu tofauti kulingana na mitoko tofauti
Hahahaaaa haya bana karibu tena na tenaNmeipenda kama ni Og kabsa na haruf yake ikiwa imetulia isiyoumiza pua
Nikiitaka naipata siyo??Hahahaaaa haya bana karibu tena na tena
Yeah muda wowote ule inakufikia popote ulipoNikiitaka naipata siyo??
Poa poa mkuu ya kiume siyo,,maana nataka moja matata sana ya kiume na moja matata zaid ya wife.... Nikirud dar nitakuchek mkuuYeah muda wowote ule inakufikia popote ulipo
Ucwaze mkuu zote zipo ni wewe tuPoa poa mkuu ya kiume siyo,,maana nataka moja matata sana ya kiume na moja matata zaid ya wife.... Nikirud dar nitakuchek mkuu
Weka na bei zake na wasifu wake tupate hamasa