Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

1491131090705.jpg
kitu hicho
 
Kama kichwa uko smart,mfuko uko smart,mavazi smart basi hii kitu inakufaa ni harufu ya gharama.ukitimba shoo za kibabe.bro wanakomaView attachment 490216dizain kama nawatangazia biashara halafu hawanilipi.
Ila ni moja kati ya harufu za kibabe sana sitanii.
Ukiipata nitafute unipe thanks

Addicted
Thierry Mugler....kinda old though!
 
Issey miyake ndo natumia kwa sasa. Deodorant ipi nzuri ukiachana na Bellagio?. Msaada tafadhali
 

Attachments

  • 20170414_134857.jpg
    20170414_134857.jpg
    160 KB · Views: 129
Back
Top Bottom