Tujue Daktari Wilbroad Slaa ana lipi moyoni juu ya Lissu kushambuliwa

NITHIBITISHIE NILIPOSEMA MBOWE NDO AMEMSHAMBULIA LISSU

Kwenye post namba moja umetaja dhana nyingi tena nyingine unaziweka ili kupotosha, hatusubiri Slaa atuambie lolote kwani kwa sasa tunajua kasimamia wapi. Ila ukweli anaujua kwani aliishi na kuwa katibu mkuu enzi za propaganda mfu za kwamba cdm ndio waliomuua Chacha Wangwe. Ni hivi, pikeni taarifa mpendavyo, jazeni nadharia mnavyoweza, lakini ukweli ni kuwa muhusika ni jiwe. Na ukitaka kujua muhusika ni jiwe hata Lissu akija akisema alihisi vibaya, bado hatabadili Ukweli wa jiwe kuwa muhusika.
 
Katika maisha kila mtu ana falsafa zake kuanzia

Kila mtu kuna mambo anayaamini ni sahihi kwake na mengine siyo sahihi kwake, Siyo kila uonalo wewe sahihi lazima kila mtu akubaliane na wewe

DR Slaa aliishi falsafa zake tangu akiwa padre na kuamua kumulika siasa, Hata alipokuwa Padre ni moja ya watu waliokuwa na akili sana katika kuandaa ripoti za kanisa

Yanayotokea sasa DR Slaa hawezi kuongea tena kwani falsafa alizokuwa anaziamini ni sahihi hakukubaliana na baadhi ya watu 2015 ya yeye kutogombea URais wa Tanzania

Hata leo hii January Makamba au Mwigulu Nchemba na Nape tayari wamehama kifalsafa waliyoyaona sahihi leo wanaona siyo sahihi

Kikubwa kwa wanasiasa wa Africa hawawezi kusimamia kile wanachokiamini, Labda ni uwoga wa kujiuzuru au kuachia ngazi ndio tatizo

Dr Slaa yeye aliyoyaamini sahihi leo hawezi kuyaongea labda aachie ngazi ya ubalozi

Hata Nape au January kama Demokrasia ingekuwa pana basi wangeweza ongea uhalisia wa nini kinaendelea lakini siasa za vitisho baadhi ya nchi za Africa ni tatizo kubwa
Niliwai kumwambia bosi wangu kua usifanye tuwaze kama wewe ,na si kila mtu ananjaa inayoweza ukamtishia kazi.

Alifunga kikao na kuondoka...tokea Hapo niliitimisha kua Viongozi wengi sana wa kiTanzania wanapenda sana uMungu mtu
 
Misimamo yake iliyeyuka baada ya watu kuingiza akina mzee mvi upande ule.
Naomba ufafanuzi kidogo ndugu barafu...je kuna tofauti gani Dr. Slaa alivyokaribishwa Chadema na Lowassa alivyokaribishwa Chadema? Ninavyosimuliwa ni kwamba wote hawa wawili waliikimbia CCM baada ya majina yao kukatwa huko na Chadema kuwapa nafasi ya kupeperusha bendera. Dr. Slaa alipeperusha bendera katika kugombea Ubunge Karatu mwaka 1995 na Lowassa alipeperusha bendera katika kugombea Urais Tanzania mwaka 2015.
 
Slaa is no more an independent thinker, tupa kule with regard to independent thinkers. Do you expect him to say something contrary to Jiwe?
Kwanza alishasema kwamba Kushambuliwa Lissu ni jambo la kawaida hata Canada inatokea , kuna uzi humuhumu jf
 
7) Wachambuzi nguli wa JF kama Pascal Mayalla wanalizungumzia suala ili kwa kuzunguka zungua kama vile kuna jambo wanajua ila hawataki shida za kueleza mambo
Mkuu Britannica, kwanza asante kuniweka kwenye wachambuzi nguli wa jf kwa viwango vyako Ila kiukweli mimi sio nguli ila humu jf manguli wa ukweli tunao.

Pili msimamo wa Dr. Slaa utapatikana iwapo waratibu wa ziara za Mh.Tundu Lissu watampangia kwenda Sweden na afanye mahojiano kama yale ya VOA, huku Lissu, huku Dr. Slaa

Kiukweli sijapenda unavyosema kwenye suala la Lissu mimi nazunguka zunguka tuu, sii kweli

Wengi wanazungumzia tukio na waliotenda shambulio lile na kulaanu lakini sii wengi wanaozumzia waliopanga na the motive behind na jinsi ya kusaidia kuwabaini wasiojulikana

Umeshamjua mkuu?
Mkuu Britanica, kwanza nilisisitiza humu
Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!. - JamiiForums

Kisha nikataja aina mbili za wasiojulikana.
Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!. - JamiiForums

Kisha nikasema sisi waandishi wa habari wenye uwezo wa kufanya IJ, tunaweza kuwabaini.
Serious Media inaweza kuwabaini "wasiojulikana" Deo Masakilija - JamiiForums

Na mwisho nikasema, watu wenye uwezo wa kuwabaini wasiojulikana hawa, wapo, ila serikali yetu haijashindwa, kuwabaini, ikifikia mahali ikashindwa, itasema na itaomba msaada, watu wa kusaidia watajitokeza.

WanaJF, Je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi? - JamiiForums

Tena nikasisitiza watu humu jf wapo sana tuu wenye uwezo wa kusaidia
TZ Tulipo Sipo!. Nabii Hakubaliki Nyumbani, JF Tuna Manabii wa Kweli, Tuwatumie Walisaidie Taifa!. - JamiiForums

P.
 
Slaa is no more an independent thinker, tupa kule with regard to independent thinkers. Do you expect him to say something contrary to Jiwe?

Hapo ndo tatizo kwako Independent thinker ni yule aliye kinyume na JPM. Wewe ndo wa kwanza hauko independent na wanachama wengi tu humu wa Upinzani. Why hamna Jema na pia hamko tayari kupokea hoja tofauti Mmekuwa wajinga wajinga na watukanaji. Mimi ni independent thinker na sioni logic yoyote ya JPM kuhusika na for what. Shida mtu mwenye maneno Mengi na Majungu kwenu ndo maarufu. Na hamkosagi sababu. Ila I tell you. TZ kama kuna Rais atataka kuleta Maendeleo lazima atachukiwa sana. Mana anahitaji kushika Bull by the horn. Wavivu. Wapiga maneno. Mission town. Kila kijana anataka kujenga na kuwa na gari mwaka Wa kwanza tu wa Kazi Serikalini. Nk. So kuweni wakweli Hakuna Nchi iliyovuka daraja kuendelea Duniani kwa neno La kupendwa na Demokrasia ya kutukanana. Muwe na hoja Stupid.
 
Naomba ufafanuzi kidogo ndugu barafu...je kuna tofauti gani Dr. Slaa alivyokaribishwa Chadema na Lowassa alivyokaribishwa Chadema? Ninavyosimuliwa ni kwamba wote hawa wawili waliikimbia CCM baada ya majina yao kukatwa huko na Chadema kuwapa nafasi ya kupeperusha bendera. Dr. Slaa alipeperusha bendera katika kugombea Ubunge Karatu mwaka 1995 na Lowassa alipeperusha bendera katika kugombea Urais Tanzania mwaka 2015.
Na Slaa alihamia CHADEMA baada ya kushauriwa na Lowassa, na mwaka 2015 ni Slaa ndiyo alimwambia Mwenyekiti Mbowe kuhusu Lowassa na akamruhusu aingie CHADEMA

Hii tunaita "what goes around , comes around"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Balozi wetu nchini Sweden kwanza habari za Stockholm? Najua unayaona yanayoendelea nchini Tanzania na walio wengi wametoa maoni yao juu ya kinachoendelea hapo kwetu Tanzania

Maoni ya wadau ni mengi kusema kweli na kila mtu analizungumzia suala ili anavyohisi

Tukianza na muhanga mwenyewe bwana Lissu anaamini kabisa kwamba serikali inahusika kabisa katika shambulizi hili juu yake na amehusisha kitendo hicho na kauli za mheshimiwa juu ya wasaliti wa Taifa na akaenda mbali kusema kwamba hatua za msingi kuhusu upelelezi wa shambulio lake zimefanya kisisasa zaid,
ametuhumu kwamba alifuatiliwa na gari mara kadhaa na akataja namba za gari hilo lakin serikali ikapuuzia mpaka ya kumkuta yalivyo mkuta,

SASA MBALI NA MAONI YA ALIYESHAMBULIWA LAKIN WATU HUKO SITE(TANZANIA) WANASEMA YAFUATAYO
1.Wafuasi wa CCM wao wamegawanyika mara mbili kuna ambao wao pamoja na kusapot kazi kubwa ya mheshimiwa rais lakin hawajaridhika na namna suala la Lissu linavyoshughulikiwa,
wamelalamika kwamba pamoja na Lissu kwenda nje ya nchi bila kibali angalau serikali ingemtibu tu isitumie kutofuata utaratibu wa bwana Lissu kama fimbo ya kumchapa,
2.Kuna wafuasi wa CCM ambao piga ua wanaamini shambulizi ilo limefanywa na chama chake kwa sababu ambazo wamesema wao eti kwamba
a) Ni figisu za CHADEMA kila ifikapo miaka ya uchaguzi wa mwenyekiti , kwa kuwa pale kuna mwenyekiti wa kudumu kila liibukapo suala ilo linaondoka na mtu, wakaendelea kueleza sintofahamu zao kwamba kwanini Mbowe alionekana kuhaha sana na kuwa na wasi wasi baada ya shambulio,
c) walimshambulia katika mazingira tata ili serikali ichafuliwe kimataifa na wananchi waamini kwamba serikali ni mbaya na msemaji akaendelea kusema kwamba kuna kipindi mbowe aliwahi kuwaweka rehai ZITTO na wewe DR kikaoni usiku na akaagiza watu wawamalize lakin kwa nahati nzuri mkaushtukia mtego, jamani wanasema wao si mimi,
3)Kuna wafuasi wa CCM wanaoamini kwamba inahusika serikali ndo maana hata mkulu hajatoa tamko lolote juu ya shambulio, hivyo wanasema alistahili kushambuliwa kwa sababu ni msaliti wa taifa, na amekuwa aki side na wazungu kila muda mpaka kwa mwanyika akiomba baadhi ya nyaraka awasaidie wazungu, wakasema anastahili adhabu hiyo
4)Kuna ma intelijensia ambao wamesema njia hiyo huwa inatumika kuwaogofya wengine , wanakufanyia mbaya hawakuui makusudi ili urudi usimulie na alama ibaki maana ukifa unasahaulika mapema kama kina Mawazo, au wengine, japo wamekataa kusema kama serikali inahusuka ama lah,
5) Hapa kuna wafuasi wa CHADEMA hawa moja kwa moja wanaituhumu serikali kwa kuwa mazingira yote yana thibitisha ushiriki wa serikali wasemavyo wao, wanasema kwamba siku ile hakukuwa na ulinzi makusudi, siku ile camera ziliondolewa na gari lililotajwa kumfuata Lissu halijafuatiliwa
6) kuna CHADEMA wanaosema kwamba wenda hata chama chao au uongozi unahusika kabisaaa maana wanajua mengi yanayoendelea chamani kwao,
7) Wachambuzi nguli wa JF kama Pascal Mayalla wanalizungumzia suala ili kwa kuzunguka zungua kama vile kuna jambo wanajua ila hawataki shida za kueleza mambo
8) Mbunge wa kigoma mjini Zitto naye anaamini kwamba serikali inahusika kwa asilimia zote ila kuna wanaompinga bwana zitto kwamba uwenda anayosema hayatoki moyoni maana anaogopa kufukuzwa ndani ya UKAWA ambayo ameruhusiwa kujiunga juzi juzi,
9) Nape Nnauye yeye analaani kitendo hicho cha kumshambulia Lissu ila hajataja anamhisi nani,
10) wakati Mwigulu Nchemba akionesha kusikitishwa na tendo ilo na kulaani vikali mashambulizi hayo

je mheshimiwa Balozi una lipi la kusema?

maana sababu zote ambazo kila kundi limetaja naona kama vile ungekuwa chadema nawewe zilizo nyingi zingekuangukia maana kazi yako ya uanaharakati inajulikana , umekwepa mishale mingi mno,

unaongeleaje suala ili
Wewe mada zako huwa za ajabu kwanini usiwe unazidiscuss na mkeo na ndugu zako huko home kwenu??

Sometimes jaribu kuficha upumbavu wako

Hili swala kadiscuss na mkeo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dr mtamuonea bure , ukishaingia kwenye chama cha dingirai sehemu kubwa ya akili unakabidhi, wankuachia akili ya;
1. kuvalia nguo za kijani kibichi ili usitembee uchi.
2. kufanyia mapenzi ili uzae watoto.
3. kukimbia hatari kama kugongwa na bodaboda usije kuumia.
zingine zote wanachukua, so hawa jamaa zetu tuwaonee huruma.
 
Balozi wetu nchini Sweden kwanza habari za Stockholm? Najua unayaona yanayoendelea nchini Tanzania na walio wengi wametoa maoni yao juu ya kinachoendelea hapo kwetu Tanzania

Maoni ya wadau ni mengi kusema kweli na kila mtu analizungumzia suala ili anavyohisi

Tukianza na muhanga mwenyewe bwana Lissu anaamini kabisa kwamba serikali inahusika kabisa katika shambulizi hili juu yake na amehusisha kitendo hicho na kauli za mheshimiwa juu ya wasaliti wa Taifa na akaenda mbali kusema kwamba hatua za msingi kuhusu upelelezi wa shambulio lake zimefanya kisisasa zaid,
ametuhumu kwamba alifuatiliwa na gari mara kadhaa na akataja namba za gari hilo lakin serikali ikapuuzia mpaka ya kumkuta yalivyo mkuta,

SASA MBALI NA MAONI YA ALIYESHAMBULIWA LAKIN WATU HUKO SITE(TANZANIA) WANASEMA YAFUATAYO
1.Wafuasi wa CCM wao wamegawanyika mara mbili kuna ambao wao pamoja na kusapot kazi kubwa ya mheshimiwa rais lakin hawajaridhika na namna suala la Lissu linavyoshughulikiwa,
wamelalamika kwamba pamoja na Lissu kwenda nje ya nchi bila kibali angalau serikali ingemtibu tu isitumie kutofuata utaratibu wa bwana Lissu kama fimbo ya kumchapa,
2.Kuna wafuasi wa CCM ambao piga ua wanaamini shambulizi ilo limefanywa na chama chake kwa sababu ambazo wamesema wao eti kwamba
a) Ni figisu za CHADEMA kila ifikapo miaka ya uchaguzi wa mwenyekiti , kwa kuwa pale kuna mwenyekiti wa kudumu kila liibukapo suala ilo linaondoka na mtu, wakaendelea kueleza sintofahamu zao kwamba kwanini Mbowe alionekana kuhaha sana na kuwa na wasi wasi baada ya shambulio,
c) walimshambulia katika mazingira tata ili serikali ichafuliwe kimataifa na wananchi waamini kwamba serikali ni mbaya na msemaji akaendelea kusema kwamba kuna kipindi mbowe aliwahi kuwaweka rehai ZITTO na wewe DR kikaoni usiku na akaagiza watu wawamalize lakin kwa nahati nzuri mkaushtukia mtego, jamani wanasema wao si mimi,
3)Kuna wafuasi wa CCM wanaoamini kwamba inahusika serikali ndo maana hata mkulu hajatoa tamko lolote juu ya shambulio, hivyo wanasema alistahili kushambuliwa kwa sababu ni msaliti wa taifa, na amekuwa aki side na wazungu kila muda mpaka kwa mwanyika akiomba baadhi ya nyaraka awasaidie wazungu, wakasema anastahili adhabu hiyo
4)Kuna ma intelijensia ambao wamesema njia hiyo huwa inatumika kuwaogofya wengine , wanakufanyia mbaya hawakuui makusudi ili urudi usimulie na alama ibaki maana ukifa unasahaulika mapema kama kina Mawazo, au wengine, japo wamekataa kusema kama serikali inahusuka ama lah,
5) Hapa kuna wafuasi wa CHADEMA hawa moja kwa moja wanaituhumu serikali kwa kuwa mazingira yote yana thibitisha ushiriki wa serikali wasemavyo wao, wanasema kwamba siku ile hakukuwa na ulinzi makusudi, siku ile camera ziliondolewa na gari lililotajwa kumfuata Lissu halijafuatiliwa
6) kuna CHADEMA wanaosema kwamba wenda hata chama chao au uongozi unahusika kabisaaa maana wanajua mengi yanayoendelea chamani kwao,
7) Wachambuzi nguli wa JF kama Pascal Mayalla wanalizungumzia suala ili kwa kuzunguka zungua kama vile kuna jambo wanajua ila hawataki shida za kueleza mambo
8) Mbunge wa kigoma mjini Zitto naye anaamini kwamba serikali inahusika kwa asilimia zote ila kuna wanaompinga bwana zitto kwamba uwenda anayosema hayatoki moyoni maana anaogopa kufukuzwa ndani ya UKAWA ambayo ameruhusiwa kujiunga juzi juzi,
9) Nape Nnauye yeye analaani kitendo hicho cha kumshambulia Lissu ila hajataja anamhisi nani,
10) wakati Mwigulu Nchemba akionesha kusikitishwa na tendo ilo na kulaani vikali mashambulizi hayo

je mheshimiwa Balozi una lipi la kusema?

maana sababu zote ambazo kila kundi limetaja naona kama vile ungekuwa chadema nawewe zilizo nyingi zingekuangukia maana kazi yako ya uanaharakati inajulikana , umekwepa mishale mingi mno,

unaongeleaje suala ili
Mwacheni Mzee wa Watu apumzike.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom