Tujue chanzo ndio tutapata dawa ya HIV | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tujue chanzo ndio tutapata dawa ya HIV

Discussion in 'JF Doctor' started by OsamaBinLaden, May 27, 2009.

 1. OsamaBinLaden

  OsamaBinLaden JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2009
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  baada ya kutoke malumbano tofauti yanayohusu kuenea kwa ukimwi nimeona no bora nilete hili swali kwa wakuu waweze kutoa ufahamu wao

  je ni nini chanzo cha ukimwi na ulitokea wapi??

  kata shina ili mti usiote lakini ukatapo tawi utaendelea kuoota na kustawi.

  wadau tunaomba ukweli wa hilo.
   
 2. S

  Subira Senior Member

  #2
  May 28, 2009
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 162
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  kujua chanzo cha ukimwi na unatokea wapi haitakuwa solution kwa sasa, mazee hapa ni kukazana na kutafuta tiba tu, my dear mojawapo ni kuacha zinaa zembe, kwa wake na wanaume.
   
Loading...