Hakuna Raisi wa Africa kwa sasa ambaye anamzidi Raisi mpya wa Ethiophia kwa umashuhuri. Lakini kikubwa tujiulize ni kwanini anakuwa mashuhuri kwa kasi kubwa hivi. Yaani mkutano wake wa US amejaza stadium nzima utafikiri ndiyo wanapata uhuru.
Lakini ukiangaalia sababu za umashahuri ni opposite na serikali yetu ya sasa mfano wao wanaachia huru wafungwa wa kisiasa sisi ndiyo tunapachika kesi wapinzani ambazo hazina tija kwa taifa. Wenzetu wanaruhusu vyombo vya habari huru sisi tunajaribu kuweka sheria za kupunguza uhuru.
Wenzetu wanataka kuruhusu demekrasia zaidi sisi tunajaribu kutumia pesa kununua madiwani, wabunge ! Na mpaka kuna tape za video.
Wenzetu wanataka kubinafsisha mashirika na kuongeza uwekezaji sisi tumefanya wakuu wa wilaya kama wakusanja kodi na kutafuta kiki kutoka kwa wawekezaji! Wenyewe wana wekeza kwenye utalii sisi tunaweka vipingamizi tu kwasababu watu wa Kilimanjaro na Arusha wanachagua upinzani, wenzetu wanaweka masoko ya vyakula na wana ukame!
Sisi sehemu kubwa za kilimo kama Mbeya tunaweka vipingamizi maana mbunge eti si wa CCM. Watu wote duniani wanataka serikali itoe vipingamizi hakuna kitu kama eti demokrasia ya Africa ni tofauti.
Ethiophia walijaribu haya tunayotaka kufanya na wameona hayasaidii badala yake yanaeudisha nchi nyuma. Magufuli usione aibu kumwalika huyu Raisi maana yule wa wakati ule uliyetaka kumwiga kashidwa
https://www-m.cnn.com/2018/08/26/world/abiymania-ethiopia-prime-minister-abiy-ahmed/index.html