Tujitahidi tusiwe single mpaka uzeeni

Siku hizi tunaachana kwa ambayo ni madogo mno..yaani mkigombana ke anasubir me ajirudi na asipofanya hivyo ni justification ya kuwa hakua na pendo...uliza wengi swali hili je sababu iliyowaachanisha ex wako unadhani inajitosheleza kuwaachanisha .....
 
Kuna wanaume walikwisha umizwa kwenye mahusiano,wakimpata single mstaarabu na muelewa maisha yanasonga
 
Tatizo hapo litakuwa ni ukomavu katika mahusiano;kila mmoja anaishi kwa kumpima mwenzake
 
Unafikiri ni kitu gani kinasababisha mtu kuwa single
 
Wa kwanza rest in Paradise
Wa pili tuliamua wenyewe kuachana sababu ya dini ' hakuna aliyekuwa tayari kumfata mwenzie.
Wa sahivi ' sir God tusaidie tufike tunapotakiwa kufika 🙏
Jitahidi usimpoteze mkuu, jua linakaribia kuzama
 
Hahahahha nikwambie tu mi napenda sana mwanaume aina yako sababu ndo mood yangu ilipo yani ni mbele tembea nyuma geuka ukinuna hubembelezwi ukizubaa umeliwa ila sasa usiwe serious hivyo muda wote

Nilikumiss tu nikaona nikuite
Hahahahha[emoji1787][emoji1787] halafu wanaume kama mimi tunakuwaga tunajua kweli mahaba na ubandidu wetu huu.

Tukizama penzini na wewe hadi unajihisi wewe ndio mmiliki wa hii dunia, unaweza ukahisi wewe chumbani kwako ni kwenye space huko hapa kwenye uso wa dunia ni sebuleni pakujambia tu kisha unarudi zako chumbani.

Tena ukiwa na mimi ndio utaenjoy sana maana mahaba utakayopata hapa hata yale ya Julieth na Romeo yanasubiri

[emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
 
Kwahiyo ni mwanamke tu ndiye anaachwa na mwanaume tu ndiye muachaji sio?
 
Kuna wanaume walikwisha umizwa kwenye mahusiano,wakimpata single mstaarabu na muelewa maisha yanasonga

Unaposema mtu ajitahidi, hasa mwanamke, asizeeke single unataka afanye nini hasa?

Ukweli ni kwamba wanawake wanasubiri kufuatwa au kutafutwa na wanaume? Mwanamke hata kama anamjua mtu ni single father au just single man hawezi kumtaka waanzishe uhusiano serious. Atapewa jina na nakunangwa. Anasubiri kuolewa, man, single mama wengi watasubiri hadi uzeeni kama hakuna mwanaume anayemtaka kumuoa.
 
Siku hizi tunaachana kwa ambayo ni madogo mno..yaani mkigombana ke anasubir me ajirudi na asipofanya hivyo ni justification ya kuwa hakua na pendo...uliza wengi swali hili je sababu iliyowaachanisha ex wako unadhani inajitosheleza kuwaachanisha .....
Ukweli ndo huu
 
Woooiiiii wanaume wote wangekuwa kama wewe dunia isingekuwa tambala bovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…