PreGE2025 Tujikumbushe ya Askofu Gwajima

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mbona mtu akimkosoa gwajiboy kwa ahadi zake za uongo anaonekana ni ccm
Hilo swala halina cha uchadema wala uccm.kwa hiyo kwako wewe mtu akipinga mauaji,utekaji,utesaji na ubakaji unamuona ni mshabiki wa chadema siyo
 
Jamani wakuu, hivi kuna mtu anayemwelewa huyu mbaba? Maana kila hali ya mambo yake inapodorora, mara moja huibuka na maneno mengi na vioja visivyo na kichwa wala miguu. Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana alilowahi kufanya, na sasa uchaguzi unakaribia — ghafla ameanza tena na maigizo ya ajabu.

Kwa kweli, kama kuna anayemwelewa, atusaidie. Gwajima, yule anayejifanya mshenga kama Lissu anavyomuita, hebu aache kutuvuruga akili. Siasa siyo sinema.
Na bado hamjasema, Gwajima ni tajiri hata kabla ya ubunge, hatafuti huruma kurudi bungeni.
 
Jamani wakuu, hivi kuna mtu anayemwelewa huyu mbaba? Maana kila hali ya mambo yake inapodorora, mara moja huibuka na maneno mengi na vioja visivyo na kichwa wala miguu. Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana alilowahi kufanya, na sasa uchaguzi unakaribia — ghafla ameanza tena na maigizo ya ajabu.

Kwa kweli, kama kuna anayemwelewa, atusaidie. Gwajima, yule anayejifanya mshenga kama Lissu anavyomuita, hebu aache kutuvuruga akili. Siasa siyo sinema
Anaeleweka sana mzee baba. Hujaelewa kipande kipi?
 
Tunasubiri wasiojielewa wamjibu hii nchi sijui inapelekwa wapi na watu wa kushauri akina JK wapo wapo wanachojali ni maslahi yao tu
 
Jamani wakuu, hivi kuna mtu anayemwelewa huyu mbaba? Maana kila hali ya mambo yake inapodorora, mara moja huibuka na maneno mengi na vioja visivyo na kichwa wala miguu. Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana alilowahi kufanya, na sasa uchaguzi unakaribia — ghafla ameanza tena na maigizo ya ajabu.

Kwa kweli, kama kuna anayemwelewa, atusaidie. Gwajima, yule anayejifanya mshenga kama Lissu anavyomuita, hebu aache kutuvuruga akili. Siasa siyo sinema.
Huwez mwelewa Kwasababu kwanza Una matope mengi kichwani, kama ulikua unapata tabu kukuelewa Mwalimu wako alokufundisha A E I O U, utamwelewa Gwajima???
 
Kumbuka Kilichomkuta Bash Minaj.
tapatalk_1488873578481.jpeg
 
Jamani wakuu, hivi kuna mtu anayemwelewa huyu mbaba? Maana kila hali ya mambo yake inapodorora, mara moja huibuka na maneno mengi na vioja visivyo na kichwa wala miguu. Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana alilowahi kufanya, na sasa uchaguzi unakaribia — ghafla ameanza tena na maigizo ya ajabu.

Kwa kweli, kama kuna anayemwelewa, atusaidie. Gwajima, yule anayejifanya mshenga kama Lissu anavyomuita, hebu aache kutuvuruga akili. Siasa siyo sinema.
Wewe ni muongo na mkurupukaji.
Screenshot_20250521-132948.jpg
 
Mashabiki wa chadema walivyo nyumbu wanamtetea kwa nguvu zote.
Hivi dada una mtoto!!? Kama unaye ukisikia ametekwa na kuuwawa utajisikiaje? Hii sio issue ya chadema ni issue ya uhai wa binadamu wenzako. Kwani unafikiri watu wote wanaoumia kwa watu kutekwa, kuumizwa na kuuwawa ni wafuasi wa chadema pekee? Na kama unafikiri ni wafuasi wa chadema maana yake unataka kusema wanaoteka ni upande wa pili??

Kuwa na utu dada yangu I have known you here at JF for a long time ila siamini kama unaweza kuwa low kiasi hiki. Hii ni dunia tu dada na wote tutaondoka.
 
Jamani wakuu, hivi kuna mtu anayemwelewa huyu mbaba? Maana kila hali ya mambo yake inapodorora, mara moja huibuka na maneno mengi na vioja visivyo na kichwa wala miguu. Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana alilowahi kufanya, na sasa uchaguzi unakaribia — ghafla ameanza tena na maigizo ya ajabu.

Kwa kweli, kama kuna anayemwelewa, atusaidie. Gwajima, yule anayejifanya mshenga kama Lissu anavyomuita, hebu aache kutuvuruga akili. Siasa siyo sinema.
Labda ni wewe tu hujamwelewa lakini kaeleweka sana
 
Jamani wakuu, hivi kuna mtu anayemwelewa huyu mbaba? Maana kila hali ya mambo yake inapodorora, mara moja huibuka na maneno mengi na vioja visivyo na kichwa wala miguu. Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana alilowahi kufanya, na sasa uchaguzi unakaribia — ghafla ameanza tena na maigizo ya ajabu.

Kwa kweli, kama kuna anayemwelewa, atusaidie. Gwajima, yule anayejifanya mshenga kama Lissu anavyomuita, hebu aache kutuvuruga akili. Siasa siyo sinema.
Panya mmewekewa pumba kidgo mmeanza kutoka mashimoni mmoja baada ya mwingine
 
Kwa hi
Jamani wakuu, hivi kuna mtu anayemwelewa huyu mbaba? Maana kila hali ya mambo yake inapodorora, mara moja huibuka na maneno mengi na vioja visivyo na kichwa wala miguu. Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana alilowahi kufanya, na sasa uchaguzi unakaribia — ghafla ameanza tena na maigizo ya ajabu.

Kwa kweli, kama kuna anayemwelewa, atusaidie. Gwajima, yule anayejifanya mshenga kama Lissu anavyomuita, hebu aache kutuvuruga akili. Siasa siyo sinema.
Kwa hiyo unataka tukuelewe wewe pimbi usiyejulikana au Askofu wetu Gwajima?
 
Jamani wakuu, hivi kuna mtu anayemwelewa huyu mbaba? Maana kila hali ya mambo yake inapodorora, mara moja huibuka na maneno mengi na vioja visivyo na kichwa wala miguu. Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana alilowahi kufanya, na sasa uchaguzi unakaribia — ghafla ameanza tena na maigizo ya ajabu.

Kwa kweli, kama kuna anayemwelewa, atusaidie. Gwajima, yule anayejifanya mshenga kama Lissu anavyomuita, hebu aache kutuvuruga akili. Siasa siyo sinema.
Mtetezi wa wabakaji na mafisadi huyu hapa.
 
Kati ya vitu sipendi ni kupangiwa vya kukoment. Wewe ndio umeiona leo hii comment yangu ya aina hii!!?? Msiwe nyumbu kufuta mkumbo. Ngwaji yupo ccm huko anatetea maslah yake. Alikua wapi wakati mzee kibao anauliwa? Lissu alipokamatwa alikua kimyaaa kaona muda wa teuzi za ubunge umekaribia ndo kaanza kuropoka tena na nyie mnamshangilia na kuuliza mna mtoto una nyenye nyee. Hao hao enzi zile mkitajiwa kitu mnakimbilia kutaja ben saanane saiv mmemsahau hata akwilina. Mnapelekeshwa tu.

Si mlimuombea magufuli afe kama adhabu ameshafariki kitambo ila mambo mliyokua mnamsingizia yamebaki na yanazidi. Mnatakiwa mjue hamgombani na mtu bali taasisi na taasisi yenyewe gwaji yumo na posho, marupurupu ya kila aina anayapata. Kama alikua na uchungu angejiuzulu mapema. Mtu kazoea kula sadaka akiwahadaa waumini sembuse nyie mnaojiita wapenda haki. Keyboard warriors.

Fanya hivi hio heshima itue au uitoe kabisa kisha click ignore button hutaniona mkuu
Hivi dada una mtoto!!? Kama unaye ukisikia ametekwa na kuuwawa utajisikiaje? Hii sio issue ya chadema ni issue ya uhai wa binadamu wenzako. Kwani unafikiri watu wote wanaoumia kwa watu kutekwa, kuumizwa na kuuwawa ni wafuasi wa chadema pekee? Na kama unafikiri ni wafuasi wa chadema maana yake unataka kusema wanaoteka ni upande wa pili??

Kuwa na utu dada yangu I have known you here at JF for a long time ila siamini kama unaweza kuwa low kiasi hiki. Hii ni dunia tu dada na wote tutaondoka.
 
Jamani wakuu, hivi kuna mtu anayemwelewa huyu mbaba? Maana kila hali ya mambo yake inapodorora, mara moja huibuka na maneno mengi na vioja visivyo na kichwa wala miguu. Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana alilowahi kufanya, na sasa uchaguzi unakaribia — ghafla ameanza tena na maigizo ya ajabu.

Kwa kweli, kama kuna anayemwelewa, atusaidie. Gwajima, yule anayejifanya mshenga kama Lissu anavyomuita, hebu aache kutuvuruga akili. Siasa siyo sinema.
Wewe na familia yako ndo hamumuelewi
 
Hii haina shida, hayo yamepita and now we are looking at what is on the table now! Watu wanatekwa, wanauwa, wanapotezwa. hizi ndizo facts za sasa on the table. Clip hizo tupa kule!

1+1=2. Basi he is correct regardless of the past mistakes in mathematics!
 
Back
Top Bottom