Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 49,736
- 89,326
Unamshambulia bila kujikita kwenye maneno anayosema?Jamani wakuu, hivi kuna mtu anayemwelewa huyu mbaba? Maana kila hali ya mambo yake inapodorora, mara moja huibuka na maneno mengi na vioja visivyo na kichwa wala miguu. Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana alilowahi kufanya, na sasa uchaguzi unakaribia — ghafla ameanza tena na maigizo ya ajabu.
Kwa kweli, kama kuna anayemwelewa, atusaidie. Gwajima, yule anayejifanya mshenga kama Lissu anavyomuita, hebu aache kutuvuruga akili. Siasa siyo sinema.