PreGE2025 Tujikumbushe ya Askofu Gwajima

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Tuache ushabiki wa vyama ata kama Gwajima anamapungufu au uko nyuma Kuna sehemu alikosea kama binadamu ila hotuba yake italiponya Taifa kama mamlaka zita amua kuchukua hatua chanya.
Ametuonyesha kama Nchi wapi tunakosea na kwa namna gani tufanye ili kurekebisha.

Mungu analipenda ili Taifa ndio maana amemwinua mtu aseme, kama tutaendelea kukaza Shingo, Mungu ata tushughulikia.
Hakuna siku utausikia kipaza sauti kutokea mbinguni kikiongea kwa maana ya Mungu anaongea.

Mungu hutumia watu kufikisha ujumbe, Ujumbe umefika, Wenye mamlaka watafakari na kuchukua hatua na si kumuona Gwajima ni Adui.
Hii ni misheni na kuna mtu anatafutwa hapo, take my words
 
Jamani wakuu, hivi kuna mtu anayemwelewa huyu mbaba? Maana kila hali ya mambo yake inapodorora, mara moja huibuka na maneno mengi na vioja visivyo na kichwa wala miguu. Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana alilowahi kufanya, na sasa uchaguzi unakaribia — ghafla ameanza tena na maigizo ya ajabu.

Kwa kweli, kama kuna anayemwelewa, atusaidie. Gwajima, yule anayejifanya mshenga kama Lissu anavyomuita, hebu aache kutuvuruga akili. Siasa siyo sinema.
Kwa kweli mimi nimemuelewa gwajima tena vizuri sana.je aliyoyaongea ni ya uongo?
 
Mashabiki wa chadema walivyo nyumbu wanamtetea kwa nguvu zote.
Hilo swala halina cha uchadema wala uccm.kwa hiyo kwako wewe mtu akipinga mauaji,utekaji,utesaji na ubakaji unamuona ni mshabiki wa chadema siyo
 
Jamani wakuu, hivi kuna mtu anayemwelewa huyu mbaba? Maana kila hali ya mambo yake inapodorora, mara moja huibuka na maneno mengi na vioja visivyo na kichwa wala miguu. Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana alilowahi kufanya, na sasa uchaguzi unakaribia — ghafla ameanza tena na maigizo ya ajabu.

Kwa kweli, kama kuna anayemwelewa, atusaidie. Gwajima, yule anayejifanya mshenga kama Lissu anavyomuita, hebu aache kutuvuruga akili. Siasa siyo sinema.
Mtekeni tu
 
kwani aliyosema ni uongo mpaka tushindwe kumuelewa? utekaji uliopita mizizi sasa polisi wamefanya kitu gani mpaka sasa? mbona kuzuia mikutano ya siasa wapo Fasta sana kuliko kushughulikia watekaji?
 
Jamani wakuu, hivi kuna mtu anayemwelewa huyu mbaba? Maana kila hali ya mambo yake inapodorora, mara moja huibuka na maneno mengi na vioja visivyo na kichwa wala miguu. Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana alilowahi kufanya, na sasa uchaguzi unakaribia — ghafla ameanza tena na maigizo ya ajabu.

Kwa kweli, kama kuna anayemwelewa, atusaidie. Gwajima, yule anayejifanya mshenga kama Lissu anavyomuita, hebu aache kutuvuruga akili. Siasa siyo sinema.
Umemuota Gwajiboy usiku mzima ikabidi umuandike vibaya humu kabla hata hajakutoka akilini.
Angalia usimuote kwenye ndoto nyevu ✌️
 
Hilo Jimbo la kawe ni la ccm sasa cjuh round hii mtakuja na propaganda hi kwasababu majimbo yote mlipita kwa kishindo kwahiyo hoja ya kutokuwepo maendeleo ktk Jimbo la kawe ni mistake ya ccm hamna namna ya kujitetea
 
Jamani wakuu, hivi kuna mtu anayemwelewa huyu mbaba? Maana kila hali ya mambo yake inapodorora, mara moja huibuka na maneno mengi na vioja visivyo na kichwa wala miguu. Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana alilowahi kufanya, na sasa uchaguzi unakaribia — ghafla ameanza tena na maigizo ya ajabu.

Kwa kweli, kama kuna anayemwelewa, atusaidie. Gwajima, yule anayejifanya mshenga kama Lissu anavyomuita, hebu aache kutuvuruga akili. Siasa siyo sinema.
Matako wewe
 
Back
Top Bottom