PreGE2025 Tujikumbushe ya Askofu Gwajima

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Jamani wakuu, hivi kuna mtu anayemwelewa huyu mbaba? Maana kila hali ya mambo yake inapodorora, mara moja huibuka na maneno mengi na vioja visivyo na kichwa wala miguu. Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana alilowahi kufanya, na sasa uchaguzi unakaribia — ghafla ameanza tena na maigizo ya ajabu.

Kwa kweli, kama kuna anayemwelewa, atusaidie. Gwajima, yule anayejifanya mshenga kama Lissu anavyomuita, hebu aache kutuvuruga akili. Siasa siyo sinema.
Gwajima kawagusa sehemu za siri mmeanza mauno
 
Siyo kila kitu ni siasa msiwe wajinga , mnadumaza fikra kuamini kila kitu ni siasa ,ABDUL MTOTO WA SAMIA AU MTOTO WA WAMBURA , AU MAJALIWA
AKICHUKULIWA HALAFU AKAOKOTWA HANA MACHO SAMIA AU WAMBURA AU MAJALIWA ATAJISIKIAJE? kwani hili nalo linahitaji siasa!? CCM mjifunze kutuliza vichwa kutafakari mambo kwa kina mnatia aibu sana na ndio mnalifanya taifa lisisonge mbele kwa ujinga wenu huo.
 
Jamani wakuu, hivi kuna mtu anayemwelewa huyu mbaba? Maana kila hali ya mambo yake inapodorora, mara moja huibuka na maneno mengi na vioja visivyo na kichwa wala miguu. Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana alilowahi kufanya, na sasa uchaguzi unakaribia — ghafla ameanza tena na maigizo ya ajabu.

Kwa kweli, kama kuna anayemwelewa, atusaidie. Gwajima, yule anayejifanya mshenga kama Lissu anavyomuita, hebu aache kutuvuruga akili. Siasa siyo sinema.
Achana na historia yake kwanza, hili aliloongea leo unalionaje??
 
Jamani wakuu, hivi kuna mtu anayemwelewa huyu mbaba? Maana kila hali ya mambo yake inapodorora, mara moja huibuka na maneno mengi na vioja visivyo na kichwa wala miguu. Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana alilowahi kufanya, na sasa uchaguzi unakaribia — ghafla ameanza tena na maigizo ya ajabu.

Kwa kweli, kama kuna anayemwelewa, atusaidie. Gwajima, yule anayejifanya mshenga kama Lissu anavyomuita, hebu aache kutuvuruga akili. Siasa siyo sinema.
Mimi nkseme huna akkli

Ata Kama Gwajima anamapungufu yake ila kwa jana kaongea mambo ya msibgi kwa mstakabali wa Nchi yetu na kaongea kizalendo zaidi

Acha uchawa
 
Wewe ni mpuuzi tena huitaji hata kuchukuwa muda wa mtu.

Kwamba wewe UTEKAJI & MAUAJI wa wakosoaji serikali ni jambo dogo na lisilohitaji kuongolewa ?!. Wewe ni mshenzi.

Uchawa umewaharibu fikra huru.
 
Jamani wakuu, hivi kuna mtu anayemwelewa huyu mbaba? Maana kila hali ya mambo yake inapodorora, mara moja huibuka na maneno mengi na vioja visivyo na kichwa wala miguu. Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana alilowahi kufanya, na sasa uchaguzi unakaribia — ghafla ameanza tena na maigizo ya ajabu.

Kwa kweli, kama kuna anayemwelewa, atusaidie. Gwajima, yule anayejifanya mshenga kama Lissu anavyomuita, hebu aache kutuvuruga akili. Siasa siyo sinema.
Ficha ujinga wako.
 
Mashabiki wa chadema walivyo nyumbu wanamtetea kwa nguvu zote.
 
Jamani wakuu, hivi kuna mtu anayemwelewa huyu mbaba? Maana kila hali ya mambo yake inapodorora, mara moja huibuka na maneno mengi na vioja visivyo na kichwa wala miguu. Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana alilowahi kufanya, na sasa uchaguzi unakaribia — ghafla ameanza tena na maigizo ya ajabu.

Kwa kweli, kama kuna anayemwelewa, atusaidie. Gwajima, yule anayejifanya mshenga kama Lissu anavyomuita, hebu aache kutuvuruga akili. Siasa siyo sinema.

HUJUI KITU. ULIDHANI UTAONEKANA UMEANDIKA KITU CHENYE AKILI. KUMBE UMEONEKANA KIOJA. UNGEPATA MTU MWENYE AKILI AJIBU HOJA ZA GWAJIMA SIYO HUU UPUUZI ULIOLETA.
 
Tukiachana na mambo ya Gwajima, nchi nzima hakuna kilichofanyika, sio kawe tu, ni nchi nzima.

Mnataka kuonyesha kwamba sehemu zingine kazi imefanyika ila kawe ndio hakuna kilichofanyika, sio kweli.

Tulia mwenyewe mbeya mjini hakuna alichofanya ndio maana amekimbia jimbo kwenda jimbo jipya la Uyole, na huyo ni spika.
ChoiceVariable anasema kwake kwa spika kunameremeta kwa maendeleo ambayo hayajaonekana kwa miaka 60!😁
 
Jamani wakuu, hivi kuna mtu anayemwelewa huyu mbaba? Maana kila hali ya mambo yake inapodorora, mara moja huibuka na maneno mengi na vioja visivyo na kichwa wala miguu. Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana alilowahi kufanya, na sasa uchaguzi unakaribia — ghafla ameanza tena na maigizo ya ajabu.

Kwa kweli, kama kuna anayemwelewa, atusaidie. Gwajima, yule anayejifanya mshenga kama Lissu anavyomuita, hebu aache kutuvuruga akili. Siasa siyo sinema.

Jibuni hoja chawa.. hata saa mbovu wakati mwingine inakupa wakati sahihi itakua binadamu? Kwa hiyo kama ana makandokando hapati uchungu wa roho 83 mlizokula?
 
Gwajima sio mtu wa kuaminika hata sekunde! Hana rangi maalum!

Alimleta Lowassa CHADEMA, kisha akawauza CHADEMA akitimkia kwa wasukuma wenzake na mwendezake!

Unakumbuka waraka wake wa kikabila ule.

Akapewa Ubunte kimagumashi ingawa hakushinda mchujo wa CHAMA!

Leo anapata wapi moral authority ya kuzungumzia hayo?

Ni bora angeendelea kuwandanganya kondoo wake wa kila siku!
 
Mkisha baki na majanaba ya vijambio mnakuja kuleta uzi zenu CCm.Kuweni na aibu maana hata vijambio vyenu vijapoa mnasingizia wazungu mashoga wakati bungeni mnataka kupimana bikra za vijambio.
Jenga hoja acha hu ujinga unaoandika
 
Back
Top Bottom