PreGE2025 Tujikumbushe ya Askofu Gwajima

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

PendoLyimo

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2014
Posts
1,059
Reaction score
1,133
Jamani wakuu, hivi kuna mtu anayemwelewa huyu mbaba? Maana kila hali ya mambo yake inapodorora, mara moja huibuka na maneno mengi na vioja visivyo na kichwa wala miguu. Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana alilowahi kufanya, na sasa uchaguzi unakaribia — ghafla ameanza tena na maigizo ya ajabu.

Pia soma: Pre GE2025 - Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama wasiondolewe kwenye nafasi zao kwa mapenzi ya mwanasiasa aliyewaweka

Kwa kweli, kama kuna anayemwelewa, atusaidie. Gwajima, yule anayejifanya mshenga kama Lissu anavyomuita, hebu aache kutuvuruga akili. Siasa siyo sinema.

Jamani wakuu, hivi kuna mtu anayemwelewa huyu mbaba? Maana kila hali ya mambo yake inapodorora, mara moja huibuka na maneno mengi na vioja visivyo na kichwa wala miguu. Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana alilowahi kufanya, na sasa uchaguzi unakaribia — ghafla ameanza tena na maigizo ya ajabu.

Kwa kweli, kama kuna anayemwelewa, atusaidie. Gwajima, yule anayejifanya mshenga kama Lissu anavyomuita, hebu aache kutuvuruga akili. Siasa siyo sinema.
Wewe nawe sio kila kitu ni siasa, tumia akili kujadili aliyosema sio kutumia uchawa
 
Tukiachana na mambo ya Gwajima, nchi nzima hakuna kilichofanyika, sio kawe tu, ni nchi nzima.

Mnataka kuonyesha kwamba sehemu zingine kazi imefanyika ila kawe ndio hakuna kilichofanyika, sio kweli.

Tulia mwenyewe mbeya mjini hakuna alichofanya ndio maana amekimbia jimbo kwenda jimbo jipya la Uyole, na huyo ni spika.
 
Jamani wakuu, hivi kuna mtu anayemwelewa huyu mbaba? Maana kila hali ya mambo yake inapodorora, mara moja huibuka na maneno mengi na vioja visivyo na kichwa wala miguu. Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana alilowahi kufanya, na sasa uchaguzi unakaribia — ghafla ameanza tena na maigizo ya ajabu.

Kwa kweli, kama kuna anayemwelewa, atusaidie. Gwajima, yule anayejifanya mshenga kama Lissu anavyomuita, hebu aache kutuvuruga akili. Siasa siyo sinema.

Kifo cha ccm ni sasa!
 
Fedha za Maendeleo ya Jimbo kwani fedha zinatoka kwa Gwajima? Hata hilo hujui, jenga hoja ya maana kumpinga, la sivyo utaonekana huna akili
 
Sisi tumemuelewa sas unataka utuaminishe kitu gani
Kwani yeye hajui kwamba watu wanatekwa, kuumizwa na kupotezwa halafu CCM wanasema wameenda kujificha, hao watekaji kumbe wanalawiti na kubaka pia

Watekaji wanao umiza binadamu wenzao, (watanzania), na kuwapoteza watakuwa wanaitumikia taasisi yenye uwezo mkubwa sana hata kuendelea kuizidi dola kwasababu tangia waanze kuteka na kuwapoteza watu kwa mujibu ya orodha inayojulika na Asikofu Gwajima ni watu 83
 
Jamani wakuu, hivi kuna mtu anayemwelewa huyu mbaba? Maana kila hali ya mambo yake inapodorora, mara moja huibuka na maneno mengi na vioja visivyo na kichwa wala miguu. Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana alilowahi kufanya, na sasa uchaguzi unakaribia — ghafla ameanza tena na maigizo ya ajabu.

Kwa kweli, kama kuna anayemwelewa, atusaidie. Gwajima, yule anayejifanya mshenga kama Lissu anavyomuita, hebu aache kutuvuruga akili. Siasa siyo sinema.
Sijafungua hizo video zako ila unamchafua kwa sababu kaongea ukweli
 
Jamani wakuu, hivi kuna mtu anayemwelewa huyu mbaba? Maana kila hali ya mambo yake inapodorora, mara moja huibuka na maneno mengi na vioja visivyo na kichwa wala miguu. Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana alilowahi kufanya, na sasa uchaguzi unakaribia — ghafla ameanza tena na maigizo ya ajabu.

Kwa kweli, kama kuna anayemwelewa, atusaidie. Gwajima, yule anayejifanya mshenga kama Lissu anavyomuita, hebu aache kutuvuruga akili. Siasa siyo sinema.
Gwajima kushindilieni gunzi kabisa na mnavyozidi kuhangaika ndiyo linazidi kuzama kudadadadeq zenu.
 
Jamani wakuu, hivi kuna mtu anayemwelewa huyu mbaba? Maana kila hali ya mambo yake inapodorora, mara moja huibuka na maneno mengi na vioja visivyo na kichwa wala miguu. Jimboni kwake Kawe hakuna lolote la maana alilowahi kufanya, na sasa uchaguzi unakaribia — ghafla ameanza tena na maigizo ya ajabu.

Kwa kweli, kama kuna anayemwelewa, atusaidie. Gwajima, yule anayejifanya mshenga kama Lissu anavyomuita, hebu aache kutuvuruga akili. Siasa siyo sinema.
Hoja yako ni ipi,kama wewe ndo propagandist wa CCM basi hasara ni kubwa sana, hebu tukumbushe na ya mzanzibar,bibi michambo
 
Tuache ushabiki wa vyama ata kama Gwajima anamapungufu au uko nyuma Kuna sehemu alikosea kama binadamu ila hotuba yake italiponya Taifa kama mamlaka zita amua kuchukua hatua chanya.
Ametuonyesha kama Nchi wapi tunakosea na kwa namna gani tufanye ili kurekebisha.

Mungu analipenda ili Taifa ndio maana amemwinua mtu aseme, kama tutaendelea kukaza Shingo, Mungu ata tushughulikia.
Hakuna siku utausikia kipaza sauti kutokea mbinguni kikiongea kwa maana ya Mungu anaongea.

Mungu hutumia watu kufikisha ujumbe, Ujumbe umefika, Wenye mamlaka watafakari na kuchukua hatua na si kumuona Gwajima ni Adui.
 
Back
Top Bottom