Ntambaswala
JF-Expert Member
- Dec 7, 2008
- 255
- 78
Sarah Dumba - RTD (Sasa ni Mkuu wa Wilaya Mpya isiyo na Umeme!)
Take a break, na tujikumbushe enzi zile za RTD, ambapo kulikuwa hakuna FMs rado kama sasa. Hakika kulikuwa na watangazaji, vipindi bomba na hata nyimbo za kutambulisha vipindi zilikuwa makini sana. Hebu ngoja niwakumbushe baadhi ya watangazaji wa wakati huo.
1. Nassoro Nsekeli- alikuwa na sauti kama ya mafua hivi alikuwa mtaalamu wa kipindi cha Majira- ndiye aliyetangaza kifo cha Nico Zengekala
2. Bujago Izengo wa Kadago- Kibesi chake kilikuwa safi sana
3. David Wakati (DG) - kipindi cha Nipe habari- Kwaherini wote, mungu awalinde na mmbaki salama, mungu akipenda..............
4, Khalid Ponera- Zilipendwa
5. Ahmed Kipozi- taarifa ya habari
6. Hassan Mkumba- matangazo ya vifo
Jacob Tesha - huyu ndo alikuwa na sauti ya kukwaruza kwaruza
Huyu aliweza kupiga sound vilivyo enzi hizo. Sijui yuko wapi1. Dunstan Tido Mhando.
2. Suleiman Kumchaya.
3. Ben Kiko (Benedict Kikoloma - Homeboy) - Wakati wa vita ya nduli Amin.
1. Dunstan Tido Mhando.
2. Suleiman Kumchaya.
3. Ben Kiko (Benedict Kikoloma - Homeboy) - Wakati wa vita ya nduli Amin.
4. Leonard Mambombotela???
5. Mchatta (kulikuwa na KM Chadema/Mtangazaji na Refa - Sikumbuki ni yupi).
6. Ni yupi inasemekana aliuawa kwa utapeli miaka ya 80? Jina limenitoka.
7. Mzee Kijaruba Abdallah Mlawa.
8. Mikidadi Mahmoud. (http://www.bongocelebrity.com/2009/03/12/tanzania-rhythm-rtdmikidadi-mahmoud/).
9. Julius Nyaisanga.
10. Sango Kipozi.
11. Charles Hilary.
12. Mshindo Mkeyenge.......
"hii ni taarifa ya habari kutoka redio tanzania. Msomaji jacob tesha. Kwanza muhtasari wake..."