Pongezi nyingi kwa Watangazaji Farhia Middley (IPP Media) na Dokta Waziri Ndonde (Azam Media) kwa Kuipaisha JamiiForums katika Vipindi vyao Redion

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,646
109,030
Asubuhi hii akizungumza mubashara kabisa katika Kipindi Kizuri ambacho GENTAMYCINE nakipenda cha Afya Point cha UFM 107.3 Mhz cha kila Jumamosi Saa 2 Kamili hadi Saa 3 Kamili Mtangazaji ambaye pia ni Daktari Kitaaluma Waziri Ndonde Saa 2 na dakika 3 aliutaja Mtandao huu wa JamiiForums kuwa ndiyo Mtandao Bora wa Habari na wa Watu Kujengana Kifikra na Kuburudika kwa Michango yao.

Hata hivyo ukiachilia huyu Mtangazaji Dokta Waziri Ndonde wa Azam Media Kuifagilia JamiiForums pia hata Mtangazaji wangu Bora kwa sasa Tanzania nzima ( hasa katika Television ) Farhia Middley wa IPP Media nae mara kwa mara akiwa katika Kipindi chake Kizuri ambacho Mimi GENTAMYCINE ni Balozi wake wa Kujiteua Kilazima ( Kibabe ) cha Mazungumzo ya Familia cha kila Jumapili kuanzia Saa 1 na Nusu hadi Saa 4 Kamili amekuwa akiutaja na Kuusifia mno huu Mtandao huku akisema kuwa ndiyo mahala ambako huwa anashinda mno Kuhabarika, Kuelimika na Kuburudika.

Haya Watangazaji wengine Shime Kwenu pia kuanzia sasa nanyi Kuupaisha huu Mtandao wangu pendwa na tukuka wa JamiiForums katika Vipindi vyema mbalimbali vya Redio na Runinga nikiamini na nikiwa na uhakika wa 99% kuwa JamiiForums inafuatiliwa na Kusomwa na Waandishi wa Habari wa Tanzania na JamiiForums ndiyo Chanzo Kikuu chao cha Taarifa / Habari yoyote ile.

Kwa wale ambao mtapenda Kusikiliza Mtangazaji huyo Dokta Waziri Ndonde alipoifagilia JamiiForums nendeni katika Instagram Page ya Daktari Bingwa wa Watoto Edward Machage ambaye ndiyo huwa anatema Madini ya Kiafya na Tiba Kipindini mkamsikie kwani Kipindi chote huwa Kinarekodiwa nae ili baadae Kisikilizwe na ambao hawakukisikia / hawakusikiliza.

Kila la Kheri Simba na Yanga Ugenini.
 
Hongera kwa Uandishi Bora na uliotuka,Kiukweli huwa naburudika Sana
 
Nilipo ona jina waziri nikajua waziri kama waziri kumbe jina la mtu
ANGALIZO

Ukijijua tu HUMPENDI na UNAMCHUKIA mno GENTAMYCINE na HUMKUBALI wala HUVUTIWI na MADA ( THREADS ) zake Kutwa hapa JamiiForums cha kufanya ni KUACHANA nae au MBLOKU ( IGNORE ) na endelea KUWASOMA MEMBERS wako ambao UNAWAPENDA, UNAWAKUBALI na unawaona ni BORA KWAKO na uniachie / uwaache wale MEMBERS Wanaonielewa waendelee KUHABARIKA, KUELIMIKA na KUBURUDIKA nami hapa JamiiForums.

Kitendo cha Kujijua huwa HUNIPENDI, HUNIKUBALI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI Wangu hapa JamiiForums halafu bado tena UNAWASHWAWASHWA nami kama MBWA JIKE anayetaka KUPANDWA kunaonyesha kuwa UNANIKUBALI ( UNANIPENDA ) hadi KUMOYO na huku KUNICHUKIA Kwako ni KUZUGA tu.

Na bahati nzuri au mbaya nikianzisha MADA ( THREAD ) hapa huwa SIMUITI au SIMLAZIMISHI Mru Kusoma hivyo sitaki SHOBO za ki MAGOMENI MAPIPA KWA MACHENI.

Nimemaliza.
 
Maneno mengi. Eti kwa macheni. Utafikiri unapajua vile
 
Leo ungetumia fursa hii kukiri kupitia mtandao huu kwamba huyo Farhia ni shemeji yetu. Maana mnashindana kupaishana tena wewe unaenda mbali zaidi kwa kumrembaremba wakati unafanyaga kauzu.
Huwezi amini Mkuu pamoja na Uchakaramu na Utani wangu Wote hakuna Mtu ninayemheshimu ( tena hadi kumuita hivi Dada ) na namkubali ( nampenda ) kwa Utendaji wake wa Kazi ( Majukumu ) kama Mtangazaji Farhia Middley wa Radio One na ITV.
 
Naona Farhia Middle anajipa promo. Ngoja kwanza nitafute chuo alichosoma. Kikionesha tu ni SAUT, basi majibu yatakuwa yamepatikana.
Tokea nijiunge rasmi hapa JamiiForums tarehe 15 July, 2013 hii ID yangu imeshahusishwa na Watu Maarufu na wa kila Kada hapa nchini na nadhani kwa sasa imebakia Kufananishwa na Yesu Kristo au hata Mungu Mwenyewe.

Asante Mungu kwa Kunibariki na Shani.
 
Back
Top Bottom