YeshuaHaMelech
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 2,597
- 37
1. General Tyre
2. NDC
3. STAMICO
Nawasilisha!
2. NDC
3. STAMICO
Nawasilisha!
4.shirika la reli na mahoteli yake
5.ATC
6.NMC
7.NASACO
8.THB
9.POSTA NA SIMU
10.KILTEX
11.NAFCO
12.TPH, endelda.
Mashirika, mashamba, mabenki na vyanzo vya uchumi aliyoacha na au kutaifisha Nyerere havikuendelea/ havitoendelea kwa sabau tu, havikuwa, havina waendeshaji wenye kina cha muono wa kibiashara, kiviwanda, kijamii bunifu.
Taaluma haipatikani tu kwenye kuta nne za madarasa, yawe ya elimu za mwanzo au alimu za juu.
Taaluma nzuri na endelevu hupatikana kwa kurithishana maarifa, ujuzi, utawala na uendeshaji.
Kwa mfano, mtu katoka kijijini, hakuna barabara, vyoo, wala maisha yake na ya wazee wake wote, hakuna aliyewahi kuwa na kiwanda wala biashara, nae huyo mtu amekwenda shule mpaka vyuo vikuu na ana mpaka Phd. Haiyumkiniki akatoka kwenye madarasa yake aende akapewe kiwanda kipya, hakina historia, akianzishe na akiendeleze. Kitakufa tu.
Lakini, umchukuwe mtu aliyetoka kwenye jamii ya wenye viwanda, waliokwisha staarabika muda mrefu, awe ana kisomo cha sekondari tu. Apewe kiwanda chenye historia kukiendesha, basi huyu atakiendesha na kitakuwa na kitastawi kuliko cha yule msomi.
Taaluma ndio muhimu kuliko kisomo katika uongozi.
i dont get any constructive idea hapa ina maana hata kama hatukuwa na nature hiyo pia hatukupaswa kujiendesha wenyewe?are you another malaria komavu?mashirika, mashamba, mabenki na vyanzo vya uchumi aliyoacha na au kutaifisha nyerere havikuendelea/ havitoendelea kwa sabau tu, havikuwa, havina waendeshaji wenye kina cha muono wa kibiashara, kiviwanda, kijamii bunifu.
Taaluma haipatikani tu kwenye kuta nne za madarasa, yawe ya elimu za mwanzo au alimu za juu.
Taaluma nzuri na endelevu hupatikana kwa kurithishana maarifa, ujuzi, utawala na uendeshaji.
Kwa mfano, mtu katoka kijijini, hakuna barabara, vyoo, wala maisha yake na ya wazee wake wote, hakuna aliyewahi kuwa na kiwanda wala biashara, nae huyo mtu amekwenda shule mpaka vyuo vikuu na ana mpaka phd. Haiyumkiniki akatoka kwenye madarasa yake aende akapewe kiwanda kipya, hakina historia, akianzishe na akiendeleze. Kitakufa tu.
Lakini, umchukuwe mtu aliyetoka kwenye jamii ya wenye viwanda, waliokwisha staarabika muda mrefu, awe ana kisomo cha sekondari tu. Apewe kiwanda chenye historia kukiendesha, basi huyu atakiendesha na kitakuwa na kitastawi kuliko cha yule msomi.
Taaluma ndio muhimu kuliko kisomo katika uongozi.
Mkuu i dont get at all, wat iz dat means? Are u trying 2 tell that we're sapose 2 employe wazungu 2 run this coz 4 time being ndio kwanza tumepata uhuru,
Not only wazungu, kuna wengi walio na vigezo ambavyo hatuna. Mfano leo hii tunataka kuwekeza na kufundisha watu kwenye kilimo cha umwagiliaji, tutazame historia na uzoefu wa hili unapatikana wapi? Choice yangu ya kwanza itakuwa Egypt. Kigezo: wana mtoto mmoja tu, Nile, wanalisha nchi nzima kutoka kando ya mto huo na kutumia kilimo cha umwagiliaji na mpaka wanauza mazao ya ziada. Kwa nini tusiwachukuwe waje kutufundisha? Kutushauri? Kutusimamia? Mpaka hapo tutapoona sasa tutaweza bila ya wasiwasi.
Hali kadhalika kwa viwanda, viwanda vya vitambaa vya nguo, India ni maarufu sana, hata europe vitambaa vya nguo zao nyingi hutokea huko.
Viwanda vya kusindika vyakula, nadhani kuna nchi zilizo na uzoefu wa hili, tutafute wataalam waje kutufundisha, kutusimamia, kutushauri.
Si lazima wawe wazungu.
your upstairs remains under colonialism.