Tujikumbushe Viwanda/Mashirika alivyoacha Nyerere lakini kwa sasa nimarehemu

4.shirika la reli na mahoteli yake
5.ATC
6.NMC
7.NASACO
8.THB
9.POSTA NA SIMU
10.KILTEX
11.NAFCO
12.TPH, endelda.
 
4.shirika la reli na mahoteli yake
5.ATC
6.NMC
7.NASACO
8.THB
9.POSTA NA SIMU
10.KILTEX
11.NAFCO
12.TPH, endelda.

13. Machine tools. 14. Chakula barafu. 15. Elimu supply. 16. Mtava. 17. Tanganyika packers, 18, narco. 19. Dafco. 19. Tpc. 20. Tpdc. 21. Bush treaker hotels. 22.kamata 23 nmc. 24. Rtc,. 25. Tanesco, 26. Meco. 27. Tameco..... ........................
 
28. Mwatex 29. Kibaha Cashewnut Factory na vingine vyote vya korosho. 30. Hotels kama Embassy, Agip n.k.
 
Mashirika, mashamba, mabenki na vyanzo vya uchumi aliyoacha na au kutaifisha Nyerere havikuendelea/ havitoendelea kwa sabau tu, havikuwa, havina waendeshaji wenye kina cha muono wa kibiashara, kiviwanda, kijamii bunifu.

Taaluma haipatikani tu kwenye kuta nne za madarasa, yawe ya elimu za mwanzo au alimu za juu.

Taaluma nzuri na endelevu hupatikana kwa kurithishana maarifa, ujuzi, utawala na uendeshaji.

Kwa mfano, mtu katoka kijijini, hakuna barabara, vyoo, wala maisha yake na ya wazee wake wote, hakuna aliyewahi kuwa na kiwanda wala biashara, nae huyo mtu amekwenda shule mpaka vyuo vikuu na ana mpaka Phd. Haiyumkiniki akatoka kwenye madarasa yake aende akapewe kiwanda kipya, hakina historia, akianzishe na akiendeleze. Kitakufa tu.

Lakini, umchukuwe mtu aliyetoka kwenye jamii ya wenye viwanda, waliokwisha staarabika muda mrefu, awe ana kisomo cha sekondari tu. Apewe kiwanda chenye historia kukiendesha, basi huyu atakiendesha na kitakuwa na kitastawi kuliko cha yule msomi.

Taaluma ndio muhimu kuliko kisomo katika uongozi.
 
dsm, wewe ungepewa shirika gani?, ulitaka matabaka yaendelee?, unajua maana ya shule?. Kwa hiyo tungeacha wakurya na wazanaki wawe jeshi, wachaga- viwanda vya kahawa, na wayao je?.
 
Dar Es Salaam;Mashirika, mashamba, mabenki na vyanzo vya uchumi aliyoacha na au kutaifisha Nyerere havikuendelea/ havitoendelea kwa sabau tu, havikuwa, havina waendeshaji wenye kina cha muono wa kibiashara, kiviwanda, kijamii bunifu.

Taaluma haipatikani tu kwenye kuta nne za madarasa, yawe ya elimu za mwanzo au alimu za juu.

Taaluma nzuri na endelevu hupatikana kwa kurithishana maarifa, ujuzi, utawala na uendeshaji.

Kwa mfano, mtu katoka kijijini, hakuna barabara, vyoo, wala maisha yake na ya wazee wake wote, hakuna aliyewahi kuwa na kiwanda wala biashara, nae huyo mtu amekwenda shule mpaka vyuo vikuu na ana mpaka Phd. Haiyumkiniki akatoka kwenye madarasa yake aende akapewe kiwanda kipya, hakina historia, akianzishe na akiendeleze. Kitakufa tu.

Lakini, umchukuwe mtu aliyetoka kwenye jamii ya wenye viwanda, waliokwisha staarabika muda mrefu, awe ana kisomo cha sekondari tu. Apewe kiwanda chenye historia kukiendesha, basi huyu atakiendesha na kitakuwa na kitastawi kuliko cha yule msomi.

Taaluma ndio muhimu kuliko kisomo katika uongozi.

Huyo ndo Malaria Sugu at his/her best. Kwa mantiki yako pengine ndo maana mkwere anashindwa kuiongoza nchi mana hajatoka kwenye familia ya rais. Huyu MS anataka mambo ya kifalme na kisultani. Don't be a DUMBASS wewe MS unaejiita DSM. Bill Gates hakua na background yoyote kwny mambo ya computer software,alisomea kidogo,akakimbia umande,then sasa ni DON kwny mambo hayo. The same goes for Steve Jobs and the like. Kwaiyo taaluma na kisomo ni viungo tu,jambo la msingi ni kua visionary na mzalendo. Hao wasomi wetu walioua viwanda vyetu hawakua VISIONARY wala WAZALENDO.
 
Hii NMC watu waliiibia sana mpaka ikaitwa National Millionaire Company hahahahahahahhaha, Vyama vya Ushirika watu waliiba mpaka vikafirisika
 
mashirika, mashamba, mabenki na vyanzo vya uchumi aliyoacha na au kutaifisha nyerere havikuendelea/ havitoendelea kwa sabau tu, havikuwa, havina waendeshaji wenye kina cha muono wa kibiashara, kiviwanda, kijamii bunifu.

Taaluma haipatikani tu kwenye kuta nne za madarasa, yawe ya elimu za mwanzo au alimu za juu.

Taaluma nzuri na endelevu hupatikana kwa kurithishana maarifa, ujuzi, utawala na uendeshaji.

Kwa mfano, mtu katoka kijijini, hakuna barabara, vyoo, wala maisha yake na ya wazee wake wote, hakuna aliyewahi kuwa na kiwanda wala biashara, nae huyo mtu amekwenda shule mpaka vyuo vikuu na ana mpaka phd. Haiyumkiniki akatoka kwenye madarasa yake aende akapewe kiwanda kipya, hakina historia, akianzishe na akiendeleze. Kitakufa tu.

Lakini, umchukuwe mtu aliyetoka kwenye jamii ya wenye viwanda, waliokwisha staarabika muda mrefu, awe ana kisomo cha sekondari tu. Apewe kiwanda chenye historia kukiendesha, basi huyu atakiendesha na kitakuwa na kitastawi kuliko cha yule msomi.

Taaluma ndio muhimu kuliko kisomo katika uongozi.
i dont get any constructive idea hapa ina maana hata kama hatukuwa na nature hiyo pia hatukupaswa kujiendesha wenyewe?are you another malaria komavu?
 
Mkuu i dont get at all, wat iz dat means? Are u trying 2 tell that we're sapose 2 employe wazungu 2 run this coz 4 time being ndio kwanza tumepata uhuru,

Not only wazungu, kuna wengi walio na vigezo ambavyo hatuna. Mfano leo hii tunataka kuwekeza na kufundisha watu kwenye kilimo cha umwagiliaji, tutazame historia na uzoefu wa hili unapatikana wapi? Choice yangu ya kwanza itakuwa Egypt. Kigezo: wana mtoto mmoja tu, Nile, wanalisha nchi nzima kutoka kando ya mto huo na kutumia kilimo cha umwagiliaji na mpaka wanauza mazao ya ziada. Kwa nini tusiwachukuwe waje kutufundisha? Kutushauri? Kutusimamia? Mpaka hapo tutapoona sasa tutaweza bila ya wasiwasi.

Hali kadhalika kwa viwanda, viwanda vya vitambaa vya nguo, India ni maarufu sana, hata europe vitambaa vya nguo zao nyingi hutokea huko.

Viwanda vya kusindika vyakula, nadhani kuna nchi zilizo na uzoefu wa hili, tutafute wataalam waje kutufundisha, kutusimamia, kutushauri.

Si lazima wawe wazungu.
 
your upstairs remains under colonialism.
 
@MS and DSM,
msichafue uzi tafadhali! Soma heading na kama una issue tofauti please anzisha uzi wako.
Jamani hebu tuwa ignore hawa top pumba makers na tuendelee na mada.

@safari,
sijawahi kulisikia hilo shirika/kiwanda. Ni cha nini hasa?
 
Back
Top Bottom