Tujikumbushe Vituko enzi za Debate na Morning speech (Waze wa Errors)

mimi nilienda mbele ilikuwa jtatu morning speech,nikaanza goodmorning my fellow student and ze teachers.today I am going to speak about about niliona kizunguzungu hicho nilikuja kushtuka saa nne nipo dispensary ya shule pua zimejaa damu vibaya mno.
 
Shule zote za upili nilizosoma nimemaliza sizifahamu nyimbo za shule kwaiyo debate na speech nilikuwa nachengana navyo kufika shule saa 3 kuondoka ninapojisikia au nikihisi kuna hatara izo issue sikubahatika kukumbana nazo
 
mm Pamoja na usumbufu wangu na u vagabond wa hali ya juu lakini basis niliyoipata pre-school and primary ilinisaidia kwenye vipengele vya debate olevo maana appearance yangu na fluency ya kiingereza viliwashangaza wengi.
 
Form two katika somo la English Mwl akasema tuchore family tree
Deskmate wangu akachora mti wa maembe na mti wa machungwa
Kisha kwa chini akaandika
This is the family tree of mangoes
This is the family tree of oranges

Huyo Dada Alikuwa na vituko sana kwakweli siku nyingine katika somo la history mwalimu akasema tuchore ramani sikumbuki ilikuwa ramani ya nini
Yule dada akaandika notes nusu ukurasa kisha ile nusu nyingine akaanza akachora ramani, ramani haikutosha akaimalizia kwenye ukurasa wa pili nyuma ya ukurasa wa kwanza.

Kwa ujumla Alikuwa aniburudisha sana na vioja vyake. Ila baadae alichanganyikiwa akaacha shule kwa matibabu.
 
Hahahahahahaha,family tree of mango.
 
Teacher: What is the matter over there??
Student: Matter is anything that can occupy space

*Unachezea mambo ya kukariri definitions za form one unakariri hadi definition of basic mathematics.
 
Ilikuwa essay ya family planing kweli point ya kwanza darasa zima walianza na condom sasa kwenye maelezo ndo viroja ndo wajuzi walionekana hapo
 
Hahahahahaha.

Nilikuwa dogder sana debates wakaja kunidaka form 2.
Hapo ndio ikawa kimbembe nikachaguliwa maana wengi tulikuwa tunakimbia.
Ilikuwa kama saa tatu usiku hivi assembly hole imejaa class zote za form 2 kuanzia stream A to D.

Kuanza tu nikapayuka na kulikuwa tunatumia speaker Good Morning my fellow student saa tatu usiku.

Assembly hole wote wakaburst kicheko kama dk 3 hivi.
 
Back
Top Bottom