Gongo kwa wingi!!!!!!!!
Kayoga, wanzuki... Gongo ni ya kitaifa siitaji hiyo
mnazi kwa wingi !
Huko gongo ni kinywaji kama togwa. watoto wadogo nao wanaipata hii kitu bila wasiwasi wowote.utakuwa unatoka kwakina mwita 25
kangara (gesuda), togwa, mangwaree'