Tujikumbushe Vinywaji vya Asili Yetu

Kaza buti....iyo ni balaa,inawekwa asali na mixer kibao..na wanaichachua na ugoro!kubeli zilipoingia ndo wakawa wanatumia kuichachua!wakati wa kunywa lazma uitumbukize suruali kwenye viatu!mana ukpga grass mbili2 lazima haja kubwa ipitilize!
 
Ugimbi mkangafu, mtogwa, macholo, ulanzi mdindifu, wanzuki, kangara ila ile kitu ya arusha dadii ni kiboko unalewa huku unashiba, then wazee wa dengerua wanaijua inachofanya na ile inaitwa pingu! Kuna kitu cha mnazi na bila kusahau ile ya watanzania wote no matte where you come from, ze gongo!
 
Eti cinzano, john walker, mnajifanya wadhuuungu, wakati dengerua na mbege ndo imelipa ada zenu na kuwanunulia viatu vya shule sa hv mnajidai eti martel, za watu hizo jamani hebu wacha tujikumbushie zile za kihome home, za kileji.
 
kimpumu
wanzuki
kangara

wanzuki ina sifa ya kulegeza maungo na hasa vizibio vya matundu ya mwili.
 
Back
Top Bottom