Tujikumbushe Vinywaji vya Asili Yetu

Tujikumbushe Vinywaji vya Asili Yetu

Maji ya Kunywa,
Juisi ya mchanganyiko wa Embe na Passion (ya kutengeneza mwenyewe)
Maji ya Machungwa
 
mbege tena ndio napata sasa hivi hapa,yaani hadi raha.
 
Classification ya Ulanzi kulingana na alc % concentration;

  1. Nyamtutu
  2. Mkangafu
  3. Mdindifu
  4. Vudongofu
 
Ulaka(pombe ya mabibo ya korosho)
Komoni(mahindi,ulezi na kimea)
Cinzano
 
Back
Top Bottom