Foffana
JF-Expert Member
- Oct 29, 2022
- 2,687
- 4,385
Kuna namna nyingi za kudai reforms na kuipata sio tu njia moja ya maandamano na hili tumekuwa tukilisema humu kila siku tunaishia kupewa majina mabaya
Lakini waTz tumekariri njia moja tu ambayo imeng'ang'aniwa na wale wanaharakati bila kuangalia kama itakuwa effectively au vipi wao ni bora liende tu matokeo yake tunafeli kila siku na mda unazidi kusogea
Hata Lissu mwenyewe alishawahi kutoa ufafanuzi kwamba njia sio maandamano peke yake ambayo yanaweza kututoa tulipo aliona mbali huyu mzee
kuna kikundi cha watu wameingilia hii deal kati kati na wanatuchota kimtindo kwa kutumia udhaifu tulionao. WaTz wengi tumekosa critical thinking skills, tumezoea kudanganywa na uchawa kwa kwenda mbele
Namuelewaga sana TAL laiti angekuwa nje yasingetokea yale yalotokea October 29, Heche kinamna fulani anapwaya
Mnyika yuko low key sana, Lema hafai kabisa kuwa hata Mwenyekiti wa serikali za mitaa kiongozi gani ukimchallenge kidogo anakImbilia BLOCK yaani yeye anataka asifiwe tu Period
View: https://www.instagram.com/reel/DSR2QNIDB4w/?igsh=dDkxZXp6NGp2bHhr