Tujikumbushe Raha za Enzi Hizo

Gamba Jipya

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
401
80
Heshima mbele sana wakuu watu wazima na si vijana waliozaliwa 70s ukuta huu si wenu na wala msibandike kitu, acheni kaka zenu tujikumbushe raha za zamani!

Wakuu nataka tujikumbushe viwanja vya zamani jijini Dar, kama ulikuwa Arusha au Mwanza, Dodoma etc karibu sana, ni viwanja gani unavikumbuka na nini kilikuvutia tofauti na viwanja vya sasa vya kula raha kamili.

Mimi nakumbuka viwanja kama
Motel Agip
New Africa Hotel
Haile Selassie Club
Kilimanjaro
Railway Club
Msasani Club
Mbowe Club..........

Raha zilikuwa zamani bwana, totoz safi, challenge kuzipata, ngoma ilikuwa bado haijashika kasi, maduka yalikuwa hayauzi condoms, ukiingia club wote mnajuana, usalama wa kumwaga maisha bei haisumbui sana, ilikuwa raha sana enzi hizo.

Those we' days man...
Vipi wakuu kumbukumbu zozote......?
 
Bila kusahau LANG'ATA social club-ilikuwa tukunyema mpaka chini ! doh raha kweli. Ilikuwa dar bila ukimwi.
 
Nakumbuka enzi hizo Dodoma kulikuwa na Shila club, Villa Club na Club NK, Mlimani Club sijui kama hivi viwanja bado vipo.....dah raha sana
 
Heshima mbele sana wakuu watu wazima na si vijana waliozaliwa 70s ukuta huu si wenu na wala msibandike kitu, acheni kaka zenu tujikumbushe raha za zamani!

Wakuu nataka tujikumbushe viwanja vya zamani jijini Dar, kama ulikuwa Arusha au Mwanza, Dodoma etc karibu sana, ni viwanja gani unavikumbuka na nini kilikuvutia tofauti na viwanja vya sasa vya kula raha kamili.

Mimi nakumbuka viwanja kama
Motel Agip
New Africa Hotel
Haile Selassie Club
Kilimanjaro
Railway Club
Msasani Club
Mbowe Club..........

Raha zilikuwa zamani bwana, totoz safi, challenge kuzipata, ngoma ilikuwa bado haijashika kasi, maduka yalikuwa hayauzi condoms, ukiingia club wote mnajuana, usalama wa kumwaga maisha bei haisumbui sana, ilikuwa raha sana enzi hizo.

Those we' days man...
Vipi wakuu kumbukumbu zozote......?

Mimi nakumbuka sana Motel na Kilimanjaro japo kuwa nilikuwa bwana mdogo sana, mimi viwanja navikumbuka bila wasiwasi ni Miami Masaki, Biliads, Coco Beach ya enzi zile chini ya mti mkubwa before K.U clue.....hahahahha....raaaaaahhhhh
 
Dar:

Kunduchi Beach Hotel
Africana
Motel Agip
Embassy Hotel
Sea View Hotel-Sansui Disco
Margots
Splendid
Safari Resort
Mlimani Park
...

Arusha:

New Arusha Hotel
Safari Hotel-Cave Disco
Mount Meru Hotel
Arusha By Night
Hotel 77
 
mombasa,s TOYS DISCOTHEQUE,1995-the ultimate venue,top of the range pr-----------,two floors of psycadelic beats
 
moshi kulikuwa na libert,nlikuwa napakatwa lakini nakumbuka

Ulikuwa unapatatwa hapo libert au nimeelewa vibaya.

Tuelezeni yaliyokuwa yanajiri la sivyo tuwaambie yanayojiri billcanas, maisha na runway, totoz kibao lakini zinanuka jasho ile mbaya na ukizitokea na vi hela vyako mbuzi zinakuganda kama luba, vipi wapenda ofa na waomba beer na sigara walikuwepo enzi hizo, machangu je?
 
Back
Top Bottom