Tujikumbushe mojawapo ya kazi za Eric Shigongo alizowahi kuifanyia CCM

najiuliza mbona wale wote waliomtusi lowassa wanaipata sana. Acha waliokufa tu. Diallo anasoma namba,huyu shigongo naye .Mungu wa lowassa achana nae aise
 
OFM (operation fichua maovu)

Vijana wote (hasa wanaojiona maarufu hapa chini ni wajinga sana,lakini wao wanajiona wajanja)
Wanauza utu wao kwa mambo ya kijinga kabisa,
Shigongo amekuwa akiwaaminisha watu kuwa ni mpambanaji kumbe anajihusisha kwenye deal za kipumbavu kabisa.
 
Boss ilikuwaje kuhusu mtoto wa Dandu?
Kweli ngoja akome kwani anapolia eti anamwaga machozi Waitii, mnafiki tu huyo, je na mke wa mtoto wa dandu atasemaje tangu mtoto wa dandu afariki??? Inamaa yeye hajui km baado tuna uchungu nae, tena aanze kumuomba lowasa na dini ya waisilaam, na wakristo msamaha na ajulishe vile vile kuomba msamaha family ya mtoto wa dandu bila hivyo ataendelea kuutesa alicho kitesa, nyambavu kabsa
 
Back
Top Bottom