Yan issue ya zanzibar ni punguani pekee ndo anaweza kuitetea, ndo maana hata wafia ccm wengi wako kimya wanapima upepo kwa kutuma vilaza na nyumbu waje kudharaulika huku na kule, kura zimepigwa mshindi yupo na ushahidi upo, solution anatakiwa atangazwe tu basi, mambo ya kutukumbusha historia za kipumbavu wala hatuzihitaji,msitufundishe amani tunaijua,MSHINDI ATANGAZWE BASI!