K Kiti JF-Expert Member Nov 2, 2010 359 234 May 14, 2020 #1 Tujikumbushe Your browser is not able to display this video. Sent using Jamii Forums mobile app
Bia yetu JF-Expert Member Apr 14, 2020 6,923 8,314 May 14, 2020 #2 Nyerere alikuwa nabii kwa Kweli kiongozi bora sana Tumebahatika kumpata Magufuli anafanya vizuri sana pia
Nyerere alikuwa nabii kwa Kweli kiongozi bora sana Tumebahatika kumpata Magufuli anafanya vizuri sana pia
mpimamstaafu JF-Expert Member Jul 18, 2018 4,445 4,704 May 14, 2020 #4 Bia yetu said: Nyerere alikuwa nabii kwa Kweli kiongozi bora sana Tumebahatika kumpata Magufuli anafanya vizuri sana pia Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Bia yetu said: Nyerere alikuwa nabii kwa Kweli kiongozi bora sana Tumebahatika kumpata Magufuli anafanya vizuri sana pia Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Doji MD JF-Expert Member Dec 27, 2019 1,015 2,059 May 14, 2020 #5 Interesting lakin haitusaidii kwasasa, Kama alijua hivyo kwanini hakubadili katiba mapema
Capitano JF-Expert Member Apr 7, 2011 1,959 1,633 May 14, 2020 #6 Bia yetu said: Nyerere alikuwa nabii kwa Kweli kiongozi bora sana Tumebahatika kumpata Magufuli anafanya vizuri sana pia Click to expand... Hivi inawezekana kweli? Kusifia kitu usichokielewa au kukiamini
Bia yetu said: Nyerere alikuwa nabii kwa Kweli kiongozi bora sana Tumebahatika kumpata Magufuli anafanya vizuri sana pia Click to expand... Hivi inawezekana kweli? Kusifia kitu usichokielewa au kukiamini
mushora JF-Expert Member Dec 21, 2012 330 798 May 14, 2020 #7 Doji MD said: Interesting lakin haitusaidii kwasasa, Kama alijua hivyo kwanini hakubadili katiba mapema Click to expand... Kwan yeye ndiye Mtanzania peke yake ? Mwinyi, Mkapa na Kikwete walikuwa na nafasi nzuri sana ya kubadili katiba kwa nn hawakufanya hivyo? Kikwete alikoroga sana Sent using Jamii Forums mobile app
Doji MD said: Interesting lakin haitusaidii kwasasa, Kama alijua hivyo kwanini hakubadili katiba mapema Click to expand... Kwan yeye ndiye Mtanzania peke yake ? Mwinyi, Mkapa na Kikwete walikuwa na nafasi nzuri sana ya kubadili katiba kwa nn hawakufanya hivyo? Kikwete alikoroga sana Sent using Jamii Forums mobile app
kizaizai JF-Expert Member Mar 31, 2010 5,342 6,495 May 14, 2020 #8 Bia yetu said: Nyerere alikuwa nabii kwa Kweli kiongozi bora sana Tumebahatika kumpata Magufuli anafanya vizuri sana pia Click to expand... Hahahaa.....wejamaa ni noma, huna mshindani....naona umechukua uwenyekiti wa wanachama wa buku 7 hapa JF, na unaitendea vizuri nafasi yako.
Bia yetu said: Nyerere alikuwa nabii kwa Kweli kiongozi bora sana Tumebahatika kumpata Magufuli anafanya vizuri sana pia Click to expand... Hahahaa.....wejamaa ni noma, huna mshindani....naona umechukua uwenyekiti wa wanachama wa buku 7 hapa JF, na unaitendea vizuri nafasi yako.