Tujikumbushe maneno ya baba wa taifa

Nyerere alikuwa nabii kwa Kweli kiongozi bora sana
Tumebahatika kumpata Magufuli anafanya vizuri sana pia
 
Interesting lakin haitusaidii kwasasa,
Kama alijua hivyo kwanini hakubadili katiba mapema
 
Nyerere alikuwa nabii kwa Kweli kiongozi bora sana
Tumebahatika kumpata Magufuli anafanya vizuri sana pia
Hahahaa:).....wejamaa ni noma, huna mshindani....naona umechukua uwenyekiti wa wanachama wa buku 7 hapa JF, na unaitendea vizuri nafasi yako.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom