Mkuu umenikumbusha mbali mnoo dah! Sidhani enzi zile kama zitarudi tena.
hivi yule driver greek yuko wapi wadau?....maana alikuwa anakimbiza hamna mfanoKulikuwa na basi moja linaenda mbeya miaka ya 90, dereva wake alikuwa anaitwa Giriki.Hilo basi bwana ni mwendo mwendo
We kibokohivi yule driver greek yuko wapi wadau?....maana alikuwa anakimbiza hamna mfano
D. Hizo si ni daladala zipo njia ya sinza kama sikosei, mbele zimeandikwa "custom white"( a) Tahfif- Kizota, Arusha---Tanga
( b) Kipengule- Arusha-----Dar
( c) Royal Sumayi, Dar-----Arusha
( d) Sahib, Kamujingijingi, Arusha----Singida
( e) Salama Star,Dar----Arusha.
Dar to Kisiwani, GonjaKulukuwa na mabasi yanaitwa Zafanana sifahamu yalikuwa yanaenda wapi
Alikuwa saratoga ya dar kigoma ila saivi hayupo sawa kiafya...yupo kwake kapumzikahivi yule driver greek yuko wapi wadau?....maana alikuwa anakimbiza hamna mfano