Enzi hizo ukiletewa ticket kama hayaandikwa "Bus Service" unakuwa huna imani kama ni ticket ya kweli.
Wadau haswa lale lalioenda umri kidogo, hebu tukumbushane mabasi yetu ya zamani. Mengi yalikuwa ni Leyland.
Nakumbuka Njuweni, Masama Clif na Masama Safari, Yarabi Salama na Yarabi Toba,[/QUOTE
star, ngorika, na harambee]
Kulikuwa na basi moja linaenda mbeya miaka ya 90, dereva wake alikuwa anaitwa Giriki.Hilo basi bwana ni mwendo mwendo
Enzi hizo ukiletewa ticket kama hayaandikwa "Bus Service" unakuwa huna imani kama ni ticket ya kweli.
Kiswele hiyo, ilikuwa habari nyingine.
Tuache utani miaka ya 90 mabasi yalikuwa yanachomoka kama ndege. Nakumbuka nilikuwa nikitoka dar kyela nafika mida ya saaa kumi na moja siku hizi maybe saaa mbili na ajari hazikuwa Nyingi kama Hii leo. Nini chanzo CHA ajari
Kitu Tunyande na kiswele dar-mby
dar oyee
Tuache utani miaka ya 90 mabasi yalikuwa yanachomoka kama ndege. Nakumbuka nilikuwa nikitoka dar kyela nafika mida ya saaa kumi na moja siku hizi maybe saaa mbili na ajari hazikuwa Nyingi kama Hii leo. Nini chanzo CHA ajari
SUPER CHAMPION mitaa ya kati hapo Dodoma, Kondoa.
Mawenzi,majira Kamajana tokaMoro-Kingorilwa in 80's