kipindi hiko ukienda mbagala kuna mbuzi anawika
Mkitaka inoge leteni majina ya veterani na mechi zilizokuwa kali zaidi na namba zao
Nadhani katika greatest mistakes alizofanya REGINALD MENGI ni kudharau watu waliokuwa wanachangia kule kwenye forum yake ya DARHOTWIRE matokeo yake watu wakaomba ukimbizi JAMBO FORUM ORIGINAL ...nadhani hii ilikuwa 2002 or something like that
Nishasahau tulikuwa tunajadili nini lakini nijuavyo JAMBO FORUM ilikuwa shule ya kufa mtu...enzi zile MUGABE ndio kawekewa vikwazo huku akina Kitila Mkumbo walikuwa wanahenyeshwa na ma rogue wa vijiweni kwa data
Kuna jamaa alikuwa akiandika sentesi LAZIMA aweke REFERENCE utafkiri anaandika ESSAY
Mtu anayekaribiana naye ni MOHAMMED SAID maaana hata kama humpendi na hoja zake lakini alikuwa akija anakuwekea na reference. Ngumu sana kufanya intellectual discussion na mtu dizaini hiyo maana utajiabisha hata kama humpendi.
Mnamumbuka hawa walikuwa members humu:
Huyu chini ilikuwa halali mpaka asome JF
Kabla ya jambo forum kulikuwa na bsctimes, na kabla ya bsctimes kulikuwa na tanzanet, hizi zilikuwa forums zilizokwenda shule. Jambo radio kulikuwa na DJ Sure (if I remember correctly) pia tulikuwa tunaweza kusoma post au kujibu bandiko huku mziki unapiga. Kila ukikiingia Tanzanet ulitakiwa uandike "Subscribe" na "Unsubscribe" unapoondoka. Far we come from.
Mkitaka inoge leteni majina ya veterani na mechi zilizokuwa kali zaidi na namba zao
Nadhani katika greatest mistakes alizofanya REGINALD MENGI ni kudharau watu waliokuwa wanachangia kule kwenye forum yake ya DARHOTWIRE matokeo yake watu wakaomba ukimbizi JAMBO FORUM ORIGINAL ...nadhani hii ilikuwa 2002 or something like that
Nishasahau tulikuwa tunajadili nini lakini nijuavyo JAMBO FORUM ilikuwa shule ya kufa mtu...enzi zile MUGABE ndio kawekewa vikwazo huku akina Kitila Mkumbo walikuwa wanahenyeshwa na ma rogue wa vijiweni kwa data
Kuna jamaa alikuwa akiandika sentesi LAZIMA aweke REFERENCE utafkiri anaandika ESSAY
Mtu anayekaribiana naye ni MOHAMMED SAID maaana hata kama humpendi na hoja zake lakini alikuwa akija anakuwekea na reference. Ngumu sana kufanya intellectual discussion na mtu dizaini hiyo maana utajiabisha hata kama humpendi.
Mnamumbuka hawa walikuwa members humu:
Huyu chini ilikuwa halali mpaka asome JF
Hahahaaa huyu ndiye "Le Mutuz".....ni tapeli hadi kesho huyu!!​Pia enzi hizo za jambo forum kuliibuka matapeli kama Field Marshall ES na utapeli wake wa kutafutia wabongo kazi US ila mpaka kwanza ulipe dollar 300....teeehteeh.
Daaah najivunia kuwa mmoja watu wa mwanzo ku log in kwenye hizi social net works!
Enzi hizo MgonjwaUkimwi ni mtata kweli kweli na mwenzake fgrt ahahaha