Tujikumbushe kidogo uchaguzi 2015

nikiona hio rangi adi nahisi kichefuchefu sasa sijui kwa yaliowakuta na chama chao pendwa cjui wanajisikiaje
 
Mmmmh!! Watanzania ni wepesi sana kusahau cos haya matukio yote yanayotokea kipindi hiki chote but 2020 tutasahau na kufanya maamuzi yale yale tu
 
Watanzania ndivyo tulivyo ni wepesi sana kusahau cos kwa haya matukio yote yanayotokea kipindi hiki chote but 2020 bado tutawachagua tu hawa jamaa na rangi zao cos huwa wanawadanganya watanzania kwa vitu vingi mno
Used n dumped [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]

Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
 
Inauma sana jamani....!ila pole zenu wote mlioshindwa kucheza mziki wa msukuma.....!
 
Angalia sana post zako.....!kumbuka waliosema Mzee akipewa uraisi atumalizi mwezi nchi itakwenda kwenye uchaguzi Leo anakiona chama chamoto(Nape)

Wako waliosema ikulu sio mochwari watz wasichague maiti(Bulembo),sijui mtu huyu leo yuko wapi...?mwenye taarifa zake ebu anijuze........!

Binafsi nakubaliana na maneno kwamba malipo ni hapa hapa....!bado wewe unayejiita barafuyamoto..............!
 
Picha ya mpiga push-up nimeiona kaka. Asante.Naifanyia 'temporal psychological analysis'.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…