aaaalisemaaaa,alisemaa,alisema nyerere alisema vijana wangu oote mmelegea sasa jifunzeni mchakakamchaka(duu mpaka leo sielewi alisema maneno hayo kwa hutuba ya mwaka gani,Na mimi nijuzeni hapo)
nyengine hii,,,,
mbuga za wanyama wa Tanzania,,,ya kwanza ni serenget,Ngorongoro manyara na mikumiii hoooo,,,,,,,,,,talalila hoeeee
Gwaride sasa.....
Kushoto,kulia,kushoto,kulia tena kwa sauti kuu Moja mbili,tatu,moja
parade ukaguzi wa usafi utaskia wimbo wa band
"kama mchafuuu,pita mbelee,usingojeee,kutolewaaa,,,
hiyo ni kila siku ya jumatatu na Alhamis asbhi.
Duuu primary bana Achaaaaa