Tujikumbushe Joyce Ndalichako alipokuwa NECTA

Tujikumbushe Joyce Ndalichako alipokuwa NECTA

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
19,385
Reaction score
68,490
attachment.php
 

Attachments

  • ndalichako.jpg
    ndalichako.jpg
    13.9 KB · Views: 2,067
Merit kabisa

Huyu mama ni kiboko kwani alikataa kushusha marks za kufaulu mtihani wa form four serikali ya kikwete ikamuazibu kwa kumuweka pembeni hongera Magufuli kwa kukuona hilo
 
Kikwete na Kawambwa wake sijui wanajisikiaje huko porini kwao Msoga!!! DHAIFU alikuwa hana viwango alikuwa mediocre kwa kila kitu!!
 
Kikwete na Kawambwa wake sijui wanajisikiaje huko porini kwao Msoga!!! DHAIFU alikuwa hana viwango alikuwa mediocre kwa kila kitu!!

Tatizo uswahili mwingi walikuwa wanapeleka mambo kiswaziswazi tu majungu kwa kwenda mbele
 
Back
Top Bottom