Tujikumbushe enzi za ufalme wa Inspector Haroun

Inspector hajawahi kuwa member wa Tmk wanaume family, yeye alijiunga wanaume halisi hata hiyo ndege tunduni hakutungiwa yeye pia kwanza naye pia kaimba kwenye hiyo ngoma
Marekebisho...inspekta hakuimba Kwenye ndege tunduni ailiimba Kwenye tatu bila
 
Kwa mnao fuatilia bongo fleva toka kitambo nadhani mtakuwa mnamkumbuka sana huyu jamaa.
Haroun Rashid Juma Kahena.Almaarufu kama Inspector Haroun aliteka sana soko la muziki wa Bongo fleva miaka ya 2000 mwanzoni.
Tujikumbushe enzi za ufalme wa Inspector Haroun kwenye muziki wa Bongo Fleva
Alitisha sana aisee
 
...Kwa kumpenda mtoto wa kikhalat, bambadi mweusi uso soft usio chunusi, natural colour chotara, mrefu mng'afung'afu maji ya kunde, kenda hewani sekunde, kwao obey oysterbay masaki binti huyu mtanashati...
Mbwa mkali, Geti kali,Usafiri wa kifahari. Chaser mayai ndani inakiyoyozii.
 
Uko sahihi ndg. Wimbo wa kwanA wa Nature unaitwa "JINSI KIJANA".
Jinsi kijana anavyobadili tabia,
Inavyoonekana amesahau mila ya mtanzania x2

Kijana mtwana mpana mwingi wa ufahamu,
Haifai kumwita dogo anaoneka ni mtu wa makamu,
Lakini haeleweki bwana we,
Mtundu, toto tundu, kukemea usisubutu,
Atakutoa mkuku, hana akiki timamu anaamua atakalo.
Haeleweki bwana wee,
Ugomvi wake mayai viza akibadilisha masalo
 
Jinsi kijana anavyobadili tabia,
Inavyoonekana amesahau mila ya mtanzania x2

Kijana mtwana mpana mwingi wa ufahamu,
Haifai kumwita dogo anaoneka ni mtu wa makamu,
Lakini haeleweki bwana we,
Mtundu, toto tundu, kukemea usisubutu,
Atakutoa mkuku, hana akiki timamu anaamua atakalo.
Haeleweki bwana wee,
Ugomvi wake mayai viza akibadilisha masalo
Umetisha uncle
 
Jinsi kijana anavyobadili tabia,
Inavyoonekana amesahau mila ya mtanzania x2

Kijana mtwana mpana mwingi wa ufahamu,
Haifai kumwita dogo anaoneka ni mtu wa makamu,
Lakini haeleweki bwana we,
Mtundu, toto tundu, kukemea usisubutu,
Atakutoa mkuku, hana akiki timamu anaamua atakalo.
Haeleweki bwana wee,
Ugomvi wake mayai viza akibadilisha masalo
Ebwaaa eeeh imebid nkaudownload aisee
 
Nyimbo zake zilijaa sifa za madiko diko misosi nk
.... hali yangu duni, halaf sina uspoon town,
kwetu chai rangi, kitumbua andazi,
nyumba mbavu za mbwa aliye nje anatuona ndani,
Wakat shori kwao mambo mshiko, vidiko diko, chai ziwa juice embe miwa, rost maini, tambi kolonia laini lain na vyapati vyapati.....


Hahaah Inspector haroun - Asali wa moyo
 
ANAEWEZA KUJUA NYIMBO YA "NGANGARI KINOMA"inapatikana wapi aniwekee link tafadhali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom