jay311
JF-Expert Member
- Oct 21, 2012
- 2,932
- 2,711
Nahisi wote tumeona sampuli ya zile fomu za kujaza kwenye hizi chaguzi ndogo za serikalinza mitaa,ninachojiuliza ni kwamba zile fomu zina ugumu gani wa kujaza mpka baadhi ya wagombea washindwe kuzijaza? Na is it coincidental kuwa 100% ya CCM waliweza kuzijaza kwa usahihi lakini vyama vingine vimeshindwa kujaza??
Binafsi Siamini kama vyama vya upinzani vilipungukiwa elimu ya kujaza fomu hizo.
Hizi ni baadhi ya fomu ambazo ni ngumu kujaza kuliko hizi za uchaguzi lakini hata hvyo naugumu wake huwa hatuzikosei.
1)TSM 9
2)Fomu ya kuomba mkopo benki
3)Insurance
4)Kadi ya gari
5)Fomu ya kurenew line ya sim
😂😂😂 Ongezea na zingine zilizongumu lakin hatuzikoseagi tukizijaza.