Tujikumbushe baadhi ya Fomu ambazo ni ngumu kujaza kuliko fomu za Uchaguzi za Serikali za Mitaa

jay311

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
2,932
2,711
Nahisi wote tumeona sampuli ya zile fomu za kujaza kwenye hizi chaguzi ndogo za serikalinza mitaa,ninachojiuliza ni kwamba zile fomu zina ugumu gani wa kujaza mpka baadhi ya wagombea washindwe kuzijaza? Na is it coincidental kuwa 100% ya CCM waliweza kuzijaza kwa usahihi lakini vyama vingine vimeshindwa kujaza??

Binafsi Siamini kama vyama vya upinzani vilipungukiwa elimu ya kujaza fomu hizo.

Hizi ni baadhi ya fomu ambazo ni ngumu kujaza kuliko hizi za uchaguzi lakini hata hvyo naugumu wake huwa hatuzikosei.

1)TSM 9
2)Fomu ya kuomba mkopo benki
3)Insurance
4)Kadi ya gari
5)Fomu ya kurenew line ya sim

😂😂😂 Ongezea na zingine zilizongumu lakin hatuzikoseagi tukizijaza.
 
Hao wasiokuwa wanaCCM hawakukosea. Hizo fomu wahakiki walielekezwa waongezee herufi au hata mambo ya uongo zile sehemu zilizoachwa blank ili zionekane zimekosewa.

Kuna majina yaliongezewa herufi. Mengine yakakatwa na kuandikwa upya. Umri mtu kaandika 37, wanaongezea 0 ili isomeke 370, tayari anaenguliwa.

Fomu nyingine wanazichana na nyingine hawaziangalii kabisa, ionekane hazikurudishwa.
 
Ilikuwa ni figisu 100%
 
Waziri wa tamisemi namshangaa sana kama mpaka sasa hajajiuzulu. Mambo yanamharibikia yeye anarembua tu na vikauli vya kitoto.

Bongo huwa hawajiuzulu bali wanazidi kusifiwa na wakubwa wao,kuashiria kuwa demokrasio na uwajibikaji/accountability ni zero kwenye nchi hii
 
[QUOTE="ngusillo, post: 33418119,

Kuna majina yaliongezewa herufi. Mengine yakakatwa na kuandikwa upya. Umri mtu kaandika 37, wanaongezea 0 ili isomeke 370, tayari anaenguliwa.

Fomu nyingine wanazichana na nyingine hawaziangalii kabisa, ionekane hazikurudishwa.[/QUOTE]

Hahahahahshahahahahahshah........
Duh...!
 
Nahisi wote tumeona sampuli ya zile fomu za kujaza kwenye hizi chaguzi ndogo za serikalinza mitaa,ninachojiuliza ni kwamba zile fomu zina ugumu gani wa kujaza mpka baadhi ya wagombea washindwe kuzijaza? Na is it coincidental kuwa 100% ya CCM waliweza kuzijaza kwa usahihi lakini vyama vingine vimeshindwa kujaza??

Binafsi Siamini kama vyama vya upinzani vilipungukiwa elimu ya kujaza fomu hizo.

Hizi ni baadhi ya fomu ambazo ni ngumu kujaza kuliko hizi za uchaguzi lakini hata hvyo naugumu wake huwa hatuzikosei.

1)TSM 9
2)Fomu ya kuomba mkopo benki
3)Insurance
4)Kadi ya gari
5)Fomu ya kurenew line ya sim

Ongezea na zingine zilizongumu lakin hatuzikoseagi tukizijaza.
6.HESLB
 
Form ya Guest House/Lodge ina tabu sana kuijaza lakini ajabu ya Hotel ni raha kuijaza.
 
Nahisi wote tumeona sampuli ya zile fomu za kujaza kwenye hizi chaguzi ndogo za serikalinza mitaa,ninachojiuliza ni kwamba zile fomu zina ugumu gani wa kujaza mpka baadhi ya wagombea washindwe kuzijaza? Na is it coincidental kuwa 100% ya CCM waliweza kuzijaza kwa usahihi lakini vyama vingine vimeshindwa kujaza??

Binafsi Siamini kama vyama vya upinzani vilipungukiwa elimu ya kujaza fomu hizo.

Hizi ni baadhi ya fomu ambazo ni ngumu kujaza kuliko hizi za uchaguzi lakini hata hvyo naugumu wake huwa hatuzikosei.

1)TSM 9
2)Fomu ya kuomba mkopo benki
3)Insurance
4)Kadi ya gari
5)Fomu ya kurenew line ya sim

😂😂😂 Ongezea na zingine zilizongumu lakin hatuzikoseagi tukizijaza.
Kama form zilikuwa mpya au zina technicalities zilizopaswa kuzingatiwa TAMISEMI ilitakiwa kufanya trainings kwa watanzania,kilichofanyika hakuna namna nyingine ya kikielezea zaidi ya kusema ni uhuni mwingine wa serikali kama ilivyo kwa korosho,uhakiki wa vyeti na wafanyakazi hewa
 
Hawakufanya trainings maana walitaka waliochukua washindwe kurudisha kwa upande wa wapinzani.....

Na kingine, form ya kiswahili imekuwaje imeshindikana kujazwa na watu wengi kiasi kile?
 
Incubation, prodromal, the rash & the recovery hizi ni phases 4 ambazo mtoto mwenye maambukizi ya surua hua anapitia,maisha yana hatua za kupitia ili ufike pale kwenye main point

Kwangu mimi hizi ni hatua za mwisho mwisho kabisa CCM kuelekea kuanguka,japo kwao inaonekana ni kuimarika

SO IS JUST MATTER OF TIME
 
Ni mchakato uliopikwa ukaiva kutoka upstairs to downstairs . Tusubiri siku akistaafu(Waziri wa Tamisemi) aje atoe kitabu kama mh. Mkapa kutubu dhambi alizowatendea wapiga kura wasio na hatia. """ INASIKITISHA SANA"""
 
Back
Top Bottom