Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,724
KWAHIYO NDIO KARUHUSU MUIBADILISHE IWE DDOMINIKA?Ndio maana nakwambia unameza vitu bila kuelewa,Kuwa Bwana wa Sabato ni kuwa mkuu wa Sabato, maana yake anaouwezo wa kufanya chochote juu ya Sabato na kila kilichopo kwenye Sabato kipo chini yake,AMKA AROON jifunze maandiko na sio Ubishi wa kidini
Kama unajua vema, KATOLIKI hakuna siku amabaYo hawaadhimishi Misa Takatifu ,kila siku tunaibada, wewe unaye abudu siku endelea maana mmeshageuza Siku kuwa ndio Mungu wenu.KWAHIYO NDIO KARUHUSU MUIBADILISHE IWE DDOMINIKA?
MBONA HAKUNA ANDIKO KAIBADILI AMRI
NIPE HILO ANDIKO, NA WHY KWENYE KATEKISIMU HAIPO?View attachment 911372
Wewe bhana acha kukwepa kwepa,Kama unajua vema, KATOLIKI hakuna siku amabaYo hawaadhimishi Misa Takatifu ,kila siku tunaibada, wewe unaye abudu siku endelea maana mmeshageuza Siku kuwa ndio Mungu wenu.
aisee Mkuu unaona mbali sana. ubarikiwe Ndugu [emoji120] [emoji120]Kama unajua vema, KATOLIKI hakuna siku amabaYo hawaadhimishi Misa Takatifu ,kila siku tunaibada, wewe unaye abudu siku endelea maana mmeshageuza Siku kuwa ndio Mungu wenu.
Ha ha ha ha kwajibu lako tu hilo nafsi inakukosoa kutoka lini wasabato mnaibada kila siku? Ninao waona kwa Tanzania angalau ni walutheli pamoja na baadhi ya makanisa ya kipentekoste huwa wanakuwa na ibada katikati ya wikiWewe bhana acha kukwepa kwepa,
Hata mimi siku zote naabudu, ila kuna moja imetengwa ,
Kama katoliki walivyobadili SABBATH TO DOMINIKA
Tuwaulize waanzilishi wa ibada ya DOMINIKAHa ha ha ha kwajibu lako tu hilo nafsi inakukosoa kutoka lini wasabato mnaibada kila siku? Ninao waona kwa Tanzania angalau ni walutheli pamoja na baadhi ya makanisa ya kipentekoste huwa wanakuwa na ibada katikati ya wiki
Kutoka 20
1 Mungu akanena maneno haya yote akasema,
2 Mimi ni Bwana, Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa.
3 Usiwe na miungu mingine ila mimi.
4 Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.
5 Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,
6 nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu.
7 Usilitaje bure jina la Bwana, Mungu wako, maana Bwana hatamhesabia kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure.
8 Ikumbuke siku ya Sabato uitakase.
9 Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote;
10 lakini siku ya saba ni Sabato ya Bwana, Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala mnyama wako wa kufuga, wala mgeni aliye ndani ya malango yako.
11 Maana, kwa siku sita Bwana alifanya mbingu, na nchi, na bahari, na vyote vilivyomo, akastarehe siku ya saba; kwa hiyo Bwana akaibarikia siku ya Sabato akaitakasa.
12 Waheshimu baba yako na mama yako; siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na Bwana, Mungu wako.
13 Usiue.
14 Usizini.
15 Usiibe.
16 Usimshuhudie jirani yako uongo.
17 Usiitamani nyumba ya jirani yako, usimtamani mke wa jirani yako; wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala cho chote alicho nacho jirani yako.[/QUOTE
Kuba nyingne hapo naona kama ni maelekezo wala sio Amri Mkuu.
Nimekuelewa sana mkuuYaani kudhania mambo ya Mungu ni mzaha mzaha kama mnavyofanyaga kwenye kujikumbusha hadithi zenu, lakini hata hadithi zenyewe mnazijulia wapi siku hizi. Nisameheni kwa hilo, mnavyojikumbusha nyimbo za wahuni wanaojiita wasanii wa bongo fleva si sawa katika mambo ya Mungu.
Binafsi nakiona hiki mnachokifanya hapa ni mzaha na ni kushindwa kutofautisha vitu vya kujikumbusha na kuzingatia. Ni nani anakukumbusha jina la baba yako ama mama yako? na majina yao unahitaji kuyakumbuka ama kuyazingatia? Kama mnakosa vya kuleta kujadili huku jf ni nafuu mkakaa kimya ama mkarudi huko fb kwenu, mambo ya Mungu yana namna yake na utaratibu wake.
Litaje hilo kanisa au bado unalipendaNimejua amri kumi za Mungu nikiwa mtu mzima, utotoni nilimezeshwa matango kipindi niko kanisa fulani
Sizijui amri 10 lakini this makes sense.Kuambiwa UMEDANGANYWA NA KUDANGANYIKA NA UNATAKA KUDANGANYA
unasema napaniki?
Ok, ngoja niendelee kukufungua , ila tuwe wanyenyekevu, wala USITOKE NJE YA MADA , wala tusitoe lugha za matusi
AMRI KUMI ZA Mungu alizompa MUSA ZIPO KUMI, NA KANISA LA ROMA KWA KUSHIRIKIANA NA DOLA YA KIRUMI WALIZIBADILISHA hili lilisemwa na NABII DANIELI KUWA LITATOKEA (daniel 7:25)
Nakuleta kwenye hoja yako sasa ,kwanza yale sio maelezo NI AMRI KAMILI
TWENDE KWENYE BIBLE........
AMRI YA PILI KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:4-6
Usijifanyie sanamu ya kuchonga,
wala mfano wa kitu cho chote
kilicho juu mbinguni, wala kilicho
chini duniani, wala kilicho majini
chini ya dunia.Usivisujudie wala
kuvitumikia; kwa kuwa mimi, Bwana,
Mungu wako, ni Mungu mwenye
wivu; nawapatiliza wana maovu ya
baba zao, hata kizazi cha tatu na
cha nne cha wanichukiao, nami
nawarehemu maelfu elfu
wanipendao, na kuzishika amri
zangu
AMRI YA PILI KATIKA KATEKISIMU
Inasema
"Usilitaje bure jina la Mungu wako"
UMEONA UTOFAUTI TENA MKUBWA?
haya njoo na hoja nyingine....
View attachment 904507
RCLitaje hilo kanisa au bado unalipenda