Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,360
Imekua kawaida sana na kuaminika kwamba njia sahihi ya kutoa adhabu ni kushushia kichapo kwa watoto wetu, wadogo zetu, wanafunzi wetu hata wapenzi wetu, Kuna utafiti uliofanyika ukionyesha kwamba wanyama hujifunza kutii amri kwa kuwapa wanachopenda wakipatia na kuwanyima wanachopenda wakikosea mfano kuwapa / kuwanyima chakula kuliko ukitumia bakora.
Kutoa kipigo kwa aliekosea kunaweza kumfanya awe sugu kwa kuzoea adhabu unayompa, Kuwa na kiburi cha kuhimiza kwamba yeye ndie yupo sahihi ama kurudia kosa ili kukukasirisha makusudi, Kwa kusema haya ni wazi kabisa adhabu ya kipigo kwa njia ya viboko, mateke, ngumi, n.k sio njia sahihi ya kutoa adhabu kwa lengo la kumfanya mkoseaji asirudie tena kosa.
Kabla hujatoa adhabu hakikisha ulikwishampa elimu mkoseaji kwamba wapi alikosea na kumuonya asirudiea tena hilo kosa, Akirudia tena mnyime kitu anachokipenda ila tu kisiwe ni kitu kinachotegemea uhai wake kwa mfano usimnyime chakula ama malazi maana haya ni mahitaji muhimu, Zifuatazo ni njia za kuwtoa adhabu sahihi:
Watoto - Vitu vya kumnyima ni kama tujuavyo watoto wanapenda sana kuangalia katuni na ikitokea wamerudia kosa cha kufanya ni kumzimia katuni na kumuamuru alale, Hapo anajua kabisa katuni zinaendelea tena ni mchana, Nakwambia hio siku atajuta sana na atakuwa akifikiria sana juu ya kosa lililomnyima raha yake ya kuangalia katuni.
Wanafunzi - Imekwishaonekana kuna dogo wa mbeya day alipwewa kichapo cha kufungia mwaka na mwalimu msigwa kule Mbeya, La Hasha hii sio njia sahihi ya kutoa Adhabu, Njia za kutumia kuadhibu wanafunzi ni kutaambua mwanafunzi anapenda kitu gani, Kuna wanafunzi wanapenda sana kucheza Mpira, Hivyo njia sahihi ni kumfab\nya akae bwenini pindi wenzake wawapo kwenye Mpira, Itamfanya ajitahidi asirudie kosa kukwepa huo mkosi.
Wapenzi - Naombeni kwanza mjue maana ya mpenzi, Mpenzi ni yule anayekupenda kwa dhati kwa mapenzi unayompa kwa hiyo kuna tofauti kubwa kati ya mpenzi na kicheche, Gold digger, Playboy n.k Mpenzi wako akirusia kosa kama ulikuwa unamletea zawadi basi punguza au acha kabisa,
Kwa hali hii lazima atakwambia kwanini umeacha kumletea zawadi, Usiwe direct kumwambia alichokosea ila atajua tu kwamba ni kwajili ya kosa alilofanya, Kwa wanawake waliokosewa nanyi mnaweza kunyima kitu anachopenda mme / Boy friend wako, Kwa vile mnapendana atajitahidi akiri na kutorudia kosa ili apate unachomnyima.