Leomimi
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 2,547
- 874
HABARI YA JPILI KINA DADA NA KINA KAKA LEO TUJIFUNZE NI JINSI GANI ITATUSAIDIA KUTOCHOKANA IWAPO TUPO KWENYE MAHUSIANO YAWE YA NDOA AU YA KIRAFIKI TU LEO NITAZUNGUMZIA MOJA TU NALO NI LA KUHUSU KULALA: tunapaswa kulala na nguo yani night dress kina dada na kina kaka pajama au bukta hii inasaidia kutochokana haraka na inasaidia kila mmoja kuwa na hamu na mwenzie kila mara kwa nini nasema hivyo endapo tutalala uchi maisha nenda maisha rudi tutachokana kwa kuwa hakuna cha kutamanisha, najua wapo watakaokuja watasema ukikubali kuolewa blablabla sio kweli mdada vaa ka transparent kako laiini bila chupi panda kitandani mkaka vaa kabucta kako lainiii panda kitandandi jaribuni mlete majibu sio mchezo kumbukeni RAHA YA NDIZI HUMENYWA NDIO HULIWA asanteni karibuni wote.