Tujifunze mbinu nzuri

Tujifunze mbinu nzuri

Leomimi

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2013
Posts
2,547
Reaction score
874
HABARI YA JPILI KINA DADA NA KINA KAKA LEO TUJIFUNZE NI JINSI GANI ITATUSAIDIA KUTOCHOKANA IWAPO TUPO KWENYE MAHUSIANO YAWE YA NDOA AU YA KIRAFIKI TU LEO NITAZUNGUMZIA MOJA TU NALO NI LA KUHUSU KULALA: tunapaswa kulala na nguo yani night dress kina dada na kina kaka pajama au bukta hii inasaidia kutochokana haraka na inasaidia kila mmoja kuwa na hamu na mwenzie kila mara kwa nini nasema hivyo endapo tutalala uchi maisha nenda maisha rudi tutachokana kwa kuwa hakuna cha kutamanisha, najua wapo watakaokuja watasema ukikubali kuolewa blablabla sio kweli mdada vaa ka transparent kako laiini bila chupi panda kitandani mkaka vaa kabucta kako lainiii panda kitandandi jaribuni mlete majibu sio mchezo kumbukeni RAHA YA NDIZI HUMENYWA NDIO HULIWA asanteni karibuni wote.
 
Nimekupenda ghafla! mwanamke lala na nightie laini nyepesi fupi kiasi, ndani usivae kitu kingine chochote! mwanamume tupia bukta yako na singlet. Pia ni vizuri mnakuwa na surprise mara kwa mara kumfanyia mwenzio tuvituko hapa na pale. Mkishakuwa wawili mnatakiwa muwe wabunifu kama watoto, michezo mipya kila siku, ndiyo maana watoto wakigombana sasa hivi baada ya dakika mbili unawakuta wamevumbua mchezo mwingine wanacheka.
 
Umenena nakubaliana nawe coz katika maisha ya kawaida wadada au wanawake wanao vaa nusu uchi wanasababisha wanaume kupoteza hisia coz anakua kaona karibu maungo yote.Naunga mkono.
 
Mhhh...wengne uchi unaanzia pale wanaporud kazn...hawavai tena mpaka kesho yake asbh wanavyoenda kazn..awa umewaeka kund gan!
 
HABARI YA JPILI KINA DADA NA KINA KAKA LEO TUJIFUNZE NI JINSI GANI ITATUSAIDIA KUTOCHOKANA IWAPO TUPO KWENYE MAHUSIANO YAWE YA NDOA AU YA KIRAFIKI TU LEO NITAZUNGUMZIA MOJA TU NALO NI LA KUHUSU KULALA: tunapaswa kulala na nguo yani night dress kina dada na kina kaka pajama au bukta hii inasaidia kutochokana haraka na inasaidia kila mmoja kuwa na hamu na mwenzie kila mara kwa nini nasema hivyo endapo tutalala uchi maisha nenda maisha rudi tutachokana kwa kuwa hakuna cha kutamanisha, najua wapo watakaokuja watasema ukikubali kuolewa blablabla sio kweli mdada vaa ka transparent kako laiini bila chupi panda kitandani mkaka vaa kabucta kako lainiii panda kitandandi jaribuni mlete majibu sio mchezo kumbukeni RAHA YA NDIZI HUMENYWA NDIO HULIWA asanteni karibuni wote.

aisee.. Leomimi na wewe tufanye hii project
 
Napenda night dress, hasa pale unapo mpapasa
 
HABARI YA JPILI KINA DADA
NA KINA KAKA LEO TUJIFUNZE NI JINSI GANI ITATUSAIDIA KUTOCHOKANA IWAPO
TUPO KWENYE MAHUSIANO YAWE YA NDOA AU YA KIRAFIKI TU LEO NITAZUNGUMZIA
MOJA TU NALO NI LA KUHUSU KULALA: tunapaswa kulala na nguo yani night
dress kina dada na kina kaka pajama au bukta hii inasaidia kutochokana
haraka na inasaidia kila mmoja kuwa na hamu na mwenzie kila mara kwa
nini nasema hivyo endapo tutalala uchi maisha nenda maisha rudi
tutachokana kwa kuwa hakuna cha kutamanisha, najua wapo watakaokuja
watasema ukikubali kuolewa blablabla sio kweli mdada vaa ka transparent
kako laiini bila chupi panda kitandani mkaka vaa kabucta kako lainiii
panda kitandandi jaribuni mlete majibu sio mchezo kumbukeni RAHA YA
NDIZI HUMENYWA NDIO HULIWA asanteni karibuni wote.
duh. sasa mi huyu wangu halali mpaka alishikilie dushe langu kwa mkono wake ndo usingizi unamchuku. sasa kulala na bikta sijui itakuaje.
nikiri pia hali hii imeufanya uume wangu uongezeke kwa some inches kwani huwa kama anaumasaji anavoushikilia.
 
Mwili unatakiwa uachwe wazi upumue! sio kila saa nguo.Kama utamchoka mwenzio kwasababu eti kwa 'kulala uchi' hiyo sio sababu kwani babu zetu wangechokana sana.Nadhani wengi wetu tuna hulka za umalaya ndio maana tunachokana na sio kulala uchi.
 
Hao wapo kwenye kundi la kutojijali na ndio maana michepuko imezidi.
Mhhh...wengne uchi unaanzia pale wanaporud kazn...hawavai tena mpaka kesho yake asbh wanavyoenda kazn..awa umewaeka kund gan!
 
Ndio maana tumesema kivaliwe kitu chepesi au unaichukuliaje nyepesi?
Mwili unatakiwa uachwe wazi upumue! sio kila saa nguo.Kama utamchoka mwenzio kwasababu eti kwa 'kulala uchi' hiyo sio sababu kwani babu zetu wangechokana sana.Nadhani wengi wetu tuna hulka za umalaya ndio maana tunachokana na sio kulala uchi.
 
Mmh navopenda kuchange change Gia eeeh bukta itanipa tabu...
ahsante kwa somo ngoja nkanunue night dress nae nimnunulie kabukta
 
Nimekupenda ghafla! mwanamke lala na nightie laini nyepesi fupi kiasi, ndani usivae kitu kingine chochote! mwanamume tupia bukta yako na singlet. Pia ni vizuri mnakuwa na surprise mara kwa mara kumfanyia mwenzio tuvituko hapa na pale. Mkishakuwa wawili mnatakiwa muwe wabunifu kama watoto, michezo mipya kila siku, ndiyo maana watoto wakigombana sasa hivi baada ya dakika mbili unawakuta wamevumbua mchezo mwingine wanacheka.

Aiseee kungwi anasema mke na mume wasilale na nguo asa najiuliza akitokea popobawa ghafla inakuaje
 
teh teh, hapo akitokea popobawa mume ajiandae kulowa tu! hao makungwi wa kizamani, uchi wa mnyama haina hamasa, vitu vyote vizuri hufichwa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom