TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 5,712
- 10,209
Nawashauri kuwa muda tulio nao hapa duniani wa kuishi ni so valuable,
Tusikae sehemu moja tukijutia na kusononeka....
Tusiogope kuanza upya na kukosea ili kujifunza.
Tutumie muda vizuri kusoma na kutazama vitu positive ili vijenge vichwa vyetu kwa mawazo mazuri ya kujenga. Tufanye kile moyo wetu unatuambia linapokuja swala la ajira na sio kile ambacho watu wanataka tufanye au tunachoambiwa.....
Follow your dreams.......
Katika mahusiano tujifunze kuingia katika mahusiano ya kudumu, inapotokea hali ya kutofautiana tuache fikra za kujitazama nini tunataka sisi kwanza bali tujiulize yule uliyenae anakosa nini hadi analeta shida huu ndio upendo,
Ukimjali mwenzako nyakati ambazo ungeweza kuvunja uhusiano na yeye atakujali siku atapokuwa na sababu ya kuvunja uhusiano na itakuwa ngumu kuachana. Tuache visa na mahusiano ya voda fasta bali tuingie nahusiano ya kudumu.
Kwenye maisha tufanye kazi na kujituma kubuni shughuli za kuitoa jamii yetu hapa ilipo ili iwe na maendelo kwa kufungua kampuni na taasisi muhimu za kudeal na hayo matatizo.