jimmymziray
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 815
- 515
Kuna baadhi yetu tunapenda kujaribu operating system tofauti kwenye android zetu, si kila mtu mwenye uwezo wa kumiliki iphone, au kupata kila model ya simu, mfano mtu ana android version 4.4.4(kitkat) lakini akatamani kuonja raha ya nougat(android version 7) au kuonja ladha ya iphone 6/7 kwa kutumia simu hiyo hiyo moja, au kuibadilisha android system ikawa windows mobile, najua inawezekana yote hayo, kwa wale ambao tayari washafanya hii kitu naomba maujanja yenu, nafikiri siyo lazima mpaka simu iwe rooted japo ili uweze kuingiza hizo OS bila computer ni muhimu kuwa na custom recovery mode kwenye simu yako, kama simu yako haina inabidi uinstall kupitia PC au uroot simu, kama huitaji kuroot simu na simu yako haina hii custom recovery mode na bado unahitaji kuweka hizi OS katika simu yako basi unatakiwa utumie PC, nakaribisha wtaalamu watupe maujanja yao ili sisi ambao bado hatujafanya hii kitu tujifunze, mimi natamani sana kujua jinsi ya kuingiza OS ya iphone 7