Tujifunze jinsi ya kuweka OS tofauti katika android

Google kila mtu anaandika achojisikia hata wewe unaweza kuandika Mavi ni chakula halafu mm nikasearch chakula wakaniletea ulichoandika wewe ambacho sio sahihi . kwahyo sio kila kilichopo google ni sahihi! Yani hata android tu huwezi kuweka os ya samsung kwenye Tecno, sasa ndo uje uweke ios kwenye android? [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Hivi kumbe Samsung nayo ni OS
 
We ndo kilaza sijawai ona.
Google uwezi andika chochote yeye ni search engine kama bing. Yeye ni muunganishi kupitia keywords. Hata os hujui jifunze hatua za kutengeneza os ndo uje uandike humu. Android ni open source os hata wewe unaweza imodify na kuiweka kwenye simu yoyote. Unazani os inawekwa kama mnavyorushiana nyimbo.
 
Hivi kumbe Samsung nayo ni OS
Samsung sio Os , Samsung anayo tizen os kwajili ya smart watch(gear) labda unaongelea UI(user interface) inayokuja na simu zake kama modifier ya android os lakini utambulika kama os ila haiwezifanyakazi bila kuwepo android os.
 
Tumia recovery file program kwenye pc kisha iconnet simu yako kwenye PC chagua memory ambayo ulifuta bahati mbaya file kisha fata maelezo itakuonesha kila file ulilofuta ni wewe kuchagua kulirudisha. Kwa simu sijui kama hii program ipo
mkuu nina kijisamsung SGH-T679 nimesahau pattern nahitaji kujua namna ya kuifactory reset.
Nimejaribu kubonyeza power button na vol down kwapamoja ilichofanya nikureboot tu
 
Washa simu yako ikikuletea paten angalia kwa chini utaona neno forgot pattern bonyeza kisha jaza user name na password ya gmail uliyoiweka kwenye simu yako kisha OK(inaweza itaji bando kutegemeana na simu na kama ujawasha data inaweza isifanye kazi kutegemeana na version ya android os) ikishindikana jaribu hii
Reboot simu yako ikiwa ikiwainataka kuwaka au zima simu bonyeza kuiwasha. bonyeza tena power button na volume key halaka simu inapoanza kuwaka bila kuachia mpaka ikuletee menu changua resert kisha fata maelezo
 
acha nijaribu nitaleta mrejesho hapa hap mkuu
 
Back
Top Bottom