Tujifunze jinsi ya kuweka OS tofauti katika android

jimmymziray

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
815
515
Kuna baadhi yetu tunapenda kujaribu operating system tofauti kwenye android zetu, si kila mtu mwenye uwezo wa kumiliki iphone, au kupata kila model ya simu, mfano mtu ana android version 4.4.4(kitkat) lakini akatamani kuonja raha ya nougat(android version 7) au kuonja ladha ya iphone 6/7 kwa kutumia simu hiyo hiyo moja, au kuibadilisha android system ikawa windows mobile, najua inawezekana yote hayo, kwa wale ambao tayari washafanya hii kitu naomba maujanja yenu, nafikiri siyo lazima mpaka simu iwe rooted japo ili uweze kuingiza hizo OS bila computer ni muhimu kuwa na custom recovery mode kwenye simu yako, kama simu yako haina inabidi uinstall kupitia PC au uroot simu, kama huitaji kuroot simu na simu yako haina hii custom recovery mode na bado unahitaji kuweka hizi OS katika simu yako basi unatakiwa utumie PC, nakaribisha wtaalamu watupe maujanja yao ili sisi ambao bado hatujafanya hii kitu tujifunze, mimi natamani sana kujua jinsi ya kuingiza OS ya iphone 7
 
1. huwezi kubadili os kama simu yako sio ya developer au simu yenye community support kubwa. kwa user wa kawaida hapa ndio aachane napo kabisaa sababu procedure zinakuwa ngumu.

2. na hata ukifanikiwa kueka hio os nyengine jiandae na matatizo 99999999 ambayo yanatokana na kutokuwa na drivers, mfano camera isifanye kazi, mara wifi ikatae kukaa on mara inapoteza network etc

3. kubadili version za android inawezekana ila kama sio official pia inakuwa ngumu kwa user wa kawaida utahitaji kuroot, kueka custom recovery na kutafuta rom inayokubali simu yako.
 
Kuna baadhi yetu tunapenda kujaribu operating system tofauti kwenye android zetu, si kila mtu mwenye uwezo wa kumiliki iphone, au kupata kila model ya simu, mfano mtu ana android version 4.4.4(kitkat) lakini akatamani kuonja raha ya nougat(android version 7) au kuonja ladha ya iphone 6/7 kwa kutumia simu hiyo hiyo moja, au kuibadilisha android system ikawa windows mobile, najua inawezekana yote hayo, kwa wale ambao tayari washafanya hii kitu naomba maujanja yenu, nafikiri siyo lazima mpaka simu iwe rooted japo ili uweze kuingiza hizo OS bila computer ni muhimu kuwa na custom recovery mode kwenye simu yako, kama simu yako haina inabidi uinstall kupitia PC au uroot simu, kama huitaji kuroot simu na simu yako haina hii custom recovery mode na bado unahitaji kuweka hizi OS katika simu yako basi unatakiwa utumie PC, nakaribisha wtaalamu watupe maujanja yao ili sisi ambao bado hatujafanya hii kitu tujifunze, mimi natamani sana kujua jinsi ya kuingiza OS ya iphone 7
Inawezekana kwa simu zilizotayari zinasuport rooting. Ukiisha root simu na kuflash ROM na umedawnload os unayotaka kuiweka iwe kwenye memory card then unareboot simu yako kabla IJAwaka bonyeza power button na volume key kwa pamoja kisha chagua install os endekea kwa kufata maelezo then simu yako itabadilisha os.
Zingatia download apps zakuroot simu, kuflash ROM na recovery tool kabla ya kujaribu. Pia angalia specification za os kabla ya kujaribu unaweza weka hata Linux mobile, web os, Firefox os na Linux os ya PC.
Unaweza kuua simu usipofata maelekezo
Nilisha jaribu nikafanikiwa na mpaka Leo simu yangu ya huawei inatumia Linux ya PC ila Toleo la zamani. Huawei nyingi zinasupport rooting
 
Mmmh! Hii sekta inahitaji umakini mkubwa au wa hali ya juu kabisa..... Vingnevyo utaishia kulia tu.... Ni dakika kadhaa unaeza kuigeuza simu yako screpa kwa kui HARD BRICK na isije kukubali kusoma hata kwenye PC kabisa au Flashing Box.....
 
c749228b672fdf599c27a6c55a1792fd.jpg

77971dd82328247a6c06586a9b3d5d26.jpg

5d5103461ff5c515d3bf12bf0e92ee6e.jpg

8a1e37455b98a67f7b0c9eea74f350ec.jpg
 
Kuna baadhi yetu tunapenda kujaribu operating system tofauti kwenye android zetu, si kila mtu mwenye uwezo wa kumiliki iphone, au kupata kila model ya simu, mfano mtu ana android version 4.4.4(kitkat) lakini akatamani kuonja raha ya nougat(android version 7) au kuonja ladha ya iphone 6/7 kwa kutumia simu hiyo hiyo moja, au kuibadilisha android system ikawa windows mobile, najua inawezekana yote hayo, kwa wale ambao tayari washafanya hii kitu naomba maujanja yenu, nafikiri siyo lazima mpaka simu iwe rooted japo ili uweze kuingiza hizo OS bila computer ni muhimu kuwa na custom recovery mode kwenye simu yako, kama simu yako haina inabidi uinstall kupitia PC au uroot simu, kama huitaji kuroot simu na simu yako haina hii custom recovery mode na bado unahitaji kuweka hizi OS katika simu yako basi unatakiwa utumie PC, nakaribisha wtaalamu watupe maujanja yao ili sisi ambao bado hatujafanya hii kitu tujifunze, mimi natamani sana kujua jinsi ya kuingiza OS ya iphone 7
haya mambo yana hatari sana jaribu kama hiyo simu hunampango nayo sana

Mmmh! Hii sekta inahitaji umakini mkubwa au wa hali ya juu kabisa..... Vingnevyo utaishia kulia tu.... Ni dakika kadhaa unaeza kuigeuza simu yako screpa kwa kui HARD BRICK na isije kukubali kusoma hata kwenye PC kabisa au Flashing Box.....
kweli mkuu
hizi tutorial naziona sana huko youtube sema nazipitia kushoto wahindi hawakawii kukufanya uharibu simu kisa wao wapate viewers tu
:D :D :D :D
 
Ndugu wanajukwaa, nimefuta mafaili niliyokuwa nimehifadhi ndani ya simu ya Samsung J1 ACE kwa bahati mbaya, inaniuma sana! Naomba mtu mwenye maujanja ya ku-RECOVER files hizi anisidie tafadhali.
 
Tumia recovery file program kwenye pc kisha iconnet simu yako kwenye PC chagua memory ambayo ulifuta bahati mbaya file kisha fata maelezo itakuonesha kila file ulilofuta ni wewe kuchagua kulirudisha. Kwa simu sijui kama hii program ipo
 
kweli mkuu
hizi tutorial naziona sana huko youtube sema nazipitia kushoto wahindi hawakawii kukufanya uharibu simu kisa wao wapate viewers tu
:D :D :D :D
Hahahaaa.... Ndio ivo kaka kuna risk kubwa sana ukiendekeza kuamini izo tutorials za kina kanjbahi....
 
Tumia recovery file program kwenye pc kisha iconnet simu yako kwenye PC chagua memory ambayo ulifuta bahati mbaya file kisha fata maelezo itakuonesha kila file ulilofuta ni wewe kuchagua kulirudisha. Kwa simu sijui kama hii program ipo
nakushukuru sana mkuu...ngoja nijaribu.
 
Uko dunia gani hata kugoogle usome unashindwa, Sema hautoweza kuweka app za iTunes au kutoka istore. utatumia apps za third part ambazo zinakuaga na malware
Google kila mtu anaandika achojisikia hata wewe unaweza kuandika Mavi ni chakula halafu mm nikasearch chakula wakaniletea ulichoandika wewe ambacho sio sahihi . kwahyo sio kila kilichopo google ni sahihi! Yani hata android tu huwezi kuweka os ya samsung kwenye Tecno, sasa ndo uje uweke ios kwenye android?
 
Hivi kumbe Samsung nayo ni OS
 
Back
Top Bottom