Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,543
- 4,670
Ulimbukeni na uzwazwa. Ili iweje? Kwani, tattoo ni silaha au ujinga wa kawaida tu. Nenda waliko muwatake wamrejeshe. Wala mie hanishughulishi kwa vile ni mwenzao.Wakubwa na wadogo, vijana na wazee, watoto na wakubwa na wanawake kwa wanaume inakuaje asee watu wangu wa nguvu.
Moja kwa moja kwenye mada. Kama kwicha cha mada hapo juu tujichoreni tatoo mwilini kama kumuenzi balozi Humphrey Polepole.
Popote mwilini. Mimi tayari niko kwenye maandalizi ya kumchora Mwamba begani.
Hii itakuwa alama ya kumuenzi huyu shujaa. Ili vizazi vijavyo vijifunze na kulinda legacy ya mwamba.
adriz Mjusi Sharobalo Lucha Stuxnet matumaini nanyi mtamuenz kwa kufanya hivi.
Ushajua kuwa aliyeweka andiko ni kenge sasa shida nini? Mdharau na kumuonea huruma uendelee na hamsini zako.Kwahiyo mimi nitembee na alama ya mtu begani nitaishi kwa amani kweli Bwana Kenge?, dhambi za kumpoteza wafanye wengine mzimu uje kuniandama mimi aiseee!.
Waweke rafiki zako karibu lakini adui karibu zaidi, ukitaka kumuhudumia mgonjwa milembe haina budi kuigiza mgonjwa pia.Ushajua kuwa aliyeweka andiko ni kenge sasa shida nini? Mdharau na kumuonea huruma uendelee na hamsini zako.
Wapi kipenzi chenu?
Kipenzi chenu ndo kilivyowafundisha?Wakubwa na wadogo, vijana na wazee, watoto na wakubwa na wanawake kwa wanaume inakuaje asee watu wangu wa nguvu.
Moja kwa moja kwenye mada. Kama kwicha cha mada hapo juu tujichoreni tatoo mwilini kama kumuenzi balozi Humphrey Polepole.
Popote mwilini. Mimi tayari niko kwenye maandalizi ya kumchora Mwamba begani.
Hii itakuwa alama ya kumuenzi huyu shujaa. Ili vizazi vijavyo vijifunze na kulinda legacy ya mwamba.
adriz Mjusi Sharobalo Lucha Stuxnet matumaini nanyi mtamuenz kwa kufanya hivi.
Maelezo yako wapi 😂
Kama kina ndugu zako huku JF wakuwahishe Mirembe Mental Health Institute pale Dodoma. Sina msaada zaidi ya huuWakubwa na wadogo, vijana na wazee, watoto na wakubwa na wanawake kwa wanaume inakuaje asee watu wangu wa nguvu.