Tujiandae kumpokea Mbwana Samatta muda wowote kuanzia sasa!!

sawa kwani morata nae anafunga? mbna usemi kurudi kwake spain? acheni kujishusha wabongo
wewe huko kwenu mbozi hakuna network? Morata kashaanza kuaga stamford bridge, siku hizi hata nafasi yake anacheza Giroud.

Wazungu sio wababaifu kama sisi, kazi yako ikiwa ni straika basi tupia magoli au tengeneza wenzako wafunge kinyume na hapo utarudi ulikotoka maana hamna namna.
 
huyu alikua majeruhi bana ulitaka arudi tu kua kwenye kiwango kile kile.. Watz tunachawiana sana
Uchawi uko wapi hapo? Tukubali kuupokea ukweli hata kama unauma, Samatta ameshuka uwezo na akiendelea na fomu hiyo atarejea Afrika muda si muda
 
We jamaa hujui mpira unafananisha Messi na Samatta?

Wewe ndio walewale mnaoingia kwenye banda la mpira huku unasikilza redio
Kuelewa nilivyoandika tu tatizo ndo utajua mpira... Nimetoa mfano sijafananisha Messi na Samatta.. Tumia akili, na acha wivu wa kijinga.
 
Hata Messi hafungi kila mechi. Badala ya kumtakia heri arudi kwenye kiwango chake wewe unatabiria kushindwa na kurudi Afrika.. Aisee hii sijui inatokana na nini...!
Chuki braza watu tunaombeana mabaya na kusifiana kinafiki.Mimi ndio maana habari ya marafiki sina na siitaki kuisikia
 
Exactly mkuu..Jamaa anaroho ya kishetani mno, halafu si muelewa kabisa
Messi,Ronaldo na Pogba huwa wanafunga kila siku? mbona wale huwa wanaongea na makocha wao wanasawazisha maisha yanaendelea? Wabongo tuna tabu,kwanza Samatta wakati anahangaika mbona hakuna mtu yeyote aliyekuwa akimtaja? Wamemuona yupo Ulaya sasa povu limeanza
 
Samatta yule sio wa sasa, anapitia wakati mgumu sana katika career yake ya soka.

Tumtie moyo walau arudi katika fomu yake, japo nina mashaka na umri wake pia.
 
Kazi kuu ya Mshambuliaji ni kufunga magoli. Mshambuliaji wa klabu ya Genk na timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana Ally Samatta amekuwa katika fomu ya chini sana msimu huu.Samatta hafungi tena magoli kama awali, naona kama mwisho wake wa kuendelea kuvheza Genk unakaribia, kama mambo yasipobadilika muda wowote kuanzia sasa Samatta atakuwa anarejea barani Africa kutafuta timu ya kucheza ila sio Tanzania. Huu ni mtazamo tu, msijenge chuki!!
kaka upo sahihi.
ila kutokana na perfomanc ya msimu uliopita anaweza akaendelea kucheza balani ulaya kwa timu nyingine... maana genk ni timu kubwa,kwahyo timu ndogi za ligi hiyo zinaweza kumuhitaji..... MFANO LUKAKU ANAWEZA KWENDA STOCK CITY
 
kaka upo sahihi.
ila kutokana na perfomanc ya msimu uliopita anaweza akaendelea kucheza balani ulaya kwa timu nyingine... maana genk ni timu kubwa,kwahyo timu ndogi za ligi hiyo zinaweza kumuhitaji..... MFANO LUKAKU ANAWEZA KWENDA STOCK CITY
nimekuelewa kaka
 
Samatta yule sio wa sasa, anapitia wakati mgumu sana katika career yake ya soka.

Tumtie moyo walau arudi katika fomu yake, japo nina mashaka na umri wake pia.
Kwanza tukubali kuwa anashuka
Mambo ya ku mcompare na kina Cr 7 na Messi tuache.
Ndidi alikaa Genk miez 8 sjui akawa asha enda EPL, ukifanya majukum yako ile ni platform kubwa ya kutokea
 
Unakosea, ni kweli Messi afung kila mechi ila anatoa assists za kufunga magoli na he makes the team better ila Samatta sivyo hivyo....aliyeleta mada hajakosea.
Mbona ngumu kuelewa? Hakuna sehemu mada inazungumzia Assists za kufunga.

Kasema kufunga mabao, ndo maana tukasema huwezi kuwa bora kila siku na hasa ukizingatia alikuwa majeruhi
 
Nafikiri ni kwa sababu ya majeruhi ila na timu yake nayo mdebwedo, juzi wamepigwa 5-0!! Hata kama akiamua kuhama asije bongo bora akacheze China au Marekani
 
Unamlinganisha Samata na wachezaji wenye Kutengeneza mamilion ya dola kwenye team na endorsement za Nike na Adidas...
 
Mbona ngumu kuelewa? Hakuna sehemu mada inazungumzia Assists za kufunga.

Kasema kufunga mabao, ndo maana tukasema huwezi kuwa bora kila siku na hasa ukizingatia alikuwa majeruhi


We ni mpuuzi sana....usilete ubongo fleva hapa. Messi alisemwa hafungi kila mechi, nikatoa ushuhuda kuwa ni kweli hafungi kila mechi ila anapika (assist) mabao kwa wenzake wafunge na Samatta hafanyi hivyo. In short, Samatta hana impact katika timu yake, bado unataka kubisha tu? Mpumbavu sana wewe, unakuwa kama shabiki wa Yanga asiyetaka kukubali ukweli ila anasumbuliwa na hasira tu.
 
Back
Top Bottom