Mapi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 6,848
- 2,741
Mm mkifanikiwa ntafuteni kwa namba 0788562816
unasubiri wakuajiri?????
Mm mkifanikiwa ntafuteni kwa namba 0788562816
DOUBT! DOUBT! DOUBT!!! sijui utanisaidiaje hadi nikuamini??????????
Wakuu
heshima kwenu, naomba vijana kumi, wenye laki tatu kila mmoja, lengo ni
kuunganisha nguvu ya mtaji kwa kuanzisha vyuo vinavyotoa certificate
kama vile zoom, the genesis n.k.
Naamini tutapata milion tatu, pia tukipambana huenda tukapata million
mbili na kufikisha tano hii ianaweza saidia kwa kuanzisha chuo. kumbuka
walimu tutakuwa sisi wenyewe na uongozi tutakuwa sisi wenyewe, hii
itategemea na proffesional yako.
Tutategeme kuanzisha ndani ya Dar au nje kidogo ya Dar hii inawezekana
kama tukiamua. kwa mawasiliano nipigie kwa 0757950376;kisha tutapanga
wapi pa kukutana tuweze kujadiliana juu ya kujiajiri sisi wenyewe,
asanteni.
UPDATE
kweli jf ni zaid ya ujuavyo..... ... mimi nilitegemea wadau mngekuja kuboresha wazo hili na kuweza kupata upana zaidi kwa lengo la kufanikiwa vijana wenzeni... nyinyi mnakuja kuponda na kutukana...eboo.... kwa hari hii vijana tutaendelea kuwa watumwa wa wachina na wahindi, na kamwe hatutauwona ufalme wa kaisari.kumbe nimegundua kitu kimoja... baadhi yetu huwa wanafurahi sana kuona vijana wenzao wanaangaika mitaani, ila kumbuka leo upo hapo, kesho haupo. anyway...kesho tunakutana na baadhi ya wadau, kujadili hili wazo. mida ya kukutana ni saa kumi kamili-hadi saa kumi na moja kamili jioni, tunakutana chuo cha udsm-maeneo ya nkrumah hall. TUTATHUBUTU ,TUTAWEZA NA TUTASONGA MBELE....OKOA TANZANIA.
Iyo pesa inatosha kabisa...kusajiri mtaala ni million 1...kusajiri brela mpaka kufungua akaunti plus tra haizidi laki mbili.....ukishakuwa na usajili brela na umepitishiwa mtaala,unapewa usajiri wa majaribio....hapo unaruhusiwa kuoperate na kuwa na wanafunzi.....So iyo million 3 iliyobaki mnaweza kukodishia jengo na kuweka miundombinu....Hapo unaanza kukusanya laki nane zao.
Fanyeni kama mna nia msiogope.
Mkuu,Wakuu