MTOTO KITAA
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 245
- 116
Wakuu
heshima kwenu, naomba vijana kumi, wenye laki tatu kila mmoja, lengo ni
kuunganisha nguvu ya mtaji kwa kuanzisha vyuo vinavyotoa certificate
kama vile zoom, the genesis n.k.
Naamini tutapata milion tatu, pia tukipambana huenda tukapata million
mbili na kufikisha tano hii ianaweza saidia kwa kuanzisha chuo. kumbuka
walimu tutakuwa sisi wenyewe na uongozi tutakuwa sisi wenyewe, hii
itategemea na proffesional yako.
Tutategeme kuanzisha ndani ya Dar au nje kidogo ya Dar hii inawezekana
kama tukiamua. kwa mawasiliano nipigie kwa 0757950376;kisha tutapanga
wapi pa kukutana tuweze kujadiliana juu ya kujiajiri sisi wenyewe,
asanteni.
UPDATE
kweli jf ni zaid ya ujuavyo..... ... mimi nilitegemea wadau mngekuja kuboresha wazo hili na kuweza kupata upana zaidi kwa lengo la kufanikiwa vijana wenzeni... nyinyi mnakuja kuponda na kutukana...eboo.... kwa hari hii vijana tutaendelea kuwa watumwa wa wachina na wahindi, na kamwe hatutauwona ufalme wa kaisari.kumbe nimegundua kitu kimoja... baadhi yetu huwa wanafurahi sana kuona vijana wenzao wanaangaika mitaani, ila kumbuka leo upo hapo, kesho haupo. anyway...kesho tunakutana na baadhi ya wadau, kujadili hili wazo. mida ya kukutana ni saa kumi kamili-hadi saa kumi na moja kamili jioni, tunakutana chuo cha udsm-maeneo ya nkrumah hall. TUTATHUBUTU ,TUTAWEZA NA TUTASONGA MBELE....OKOA TANZANIA.