Hatutaki keroro!!ππππππMtunza hazina hutaki utani aisee π
Kabisaπππ€Hii imeendaa hii
ππHiyo imeisha mkuu π€
Nitakua mweka hazina wa kanisa.β€οΈ Hakika nahitaji support yenu mkuuπ
Nshawahi hii nafasi, we kuwa hata katibu.....bila shaka hautakua kama katibu wa masanja.πππnaomba niwe muweka hazina wa Kanisa lako
Wewe utakuwa pembeni yangu kwa ajili ya kunipoza nisipige waumini,maana kwa hasira hizi afu waumini wenyewe ndiyo kina Vincenzo Jr ππππnaomba niwe muweka hazina wa Kanisa lako
Kama hili somo umelielewa na mimi nitafuteUtanizibia ridhiki mkuu,nimejifunza kwa mama wa nchi,ukitaka uonekane kuwa wewe kama weweπ
πππNshawahi hii nafasi, we kuwa hata katibu.....bila shaka hautakua kama katibu wa masanja.
Ila Melo katia kufuli ofisini, sijui utafikia wapi?Asante sana mkuuπ