Tujadiliane hili tafadhali

Tujadiliane hili tafadhali

thi tuwatafuteeeee
ehehehhe mi nimethema tuuu
yani mwezi mmoja tusherehekee besidei mbili ehehehehhehehe
mi nimethema tuuu!

Mwishowe unaweza kuthema unataka nanihii!!!!!!!!!
We sema udhanie ni vidhuriiiii!!!!!!!!!
 
ndo maana nika-warn kabisa..... usiseme sababu kanibeba tumboni miezi kadhaa, kuna wanaobeba mimba na wanatupa watoto....
majukumu ya wazazi kwa watoto ni kawaida. siwezi sema baba ananipenda zaidi sababu ananilipia ada ya shule, ni wajibu wake

haswaaa..huu ndio wasiwasi wangu katika tafsiri za wengi
 
@Fixed Point nakubaliana na wewe, hakuna upendo kama upendo wa mama, mama yangu i mean. Najua kuna wengine labda kwa sbb moja au nyingine hawakuwahi kupata upendo wa mama.

As for me, upendo wa mama ni upendo ambao hauwezi kufananishwa na upendo wowote, ukacha wa baba Mungu.

Achilia mbali kunibebea for 9 monthes, lakini amekuwa karibu yangu na msaada wangu mkubwa for better and for worse.

In everything, my mom comes first.

Nitarudi
 
DAWA YA KUKUZA UUME HII HAPA, YA KIENYEJI.HII NI KWA WALE WENYE UUME MDOGO TU!, DAWA IMEPATIKANA KWA DR, INAITWA MNYUMBU TOKA SONGEA HII INA KAZI MOJA TU YA KUKUZA UUME TU NA SI KUONGEZA NGUVU KAMA WENGENE WANAVOJINADI. UNAWEZA WASILIANA NA DOKTA JEROME ANAPATIKANA MACHIMBO ,DAR ES SALAAM KWA EMAIL YAKE. jeromelameck@gmail.com KUMBUKA WENGI WENYE TATIZO HILI NI WASIRI MNO KIASI CHA KUTOWEZA KUTAMBULIKA. SULUHISHO LIMEPATIKANA KWA DOKTA JEROME...........

WE NAWEEEEEEEEEEEEEE HEBU TUONDOKEEE HAPA KWANI UNAFIKIR KILA WAKATI NI VIKOJOLEO TU!
mxiiiiiiiiiiiiiiiu kuna jukwaa la matangazo bana
usitujazie nzi wa kijani hapa!
 
You need to live longer than that ili uujue ukeli mkubwa sana

Roho inaniuma sana kwa watu kutokuuthamini upendo wa baba
Sijui hata niseme nini!
Eiyer upendo wa baba upo na kuna post nimesema kuna baba anaupendo na wanawe kuliko mama hata sie majirani tunafurahia hilo............. unapokuja kwa upande wangu napenda kuuzungumzia zaidi wa mama wa baba naomba nisiuzungumzie maana sikuwahi kuuna wala kuuhisi.....watu kama kina Nyani Ngabu haishi kusifia upendo wa baba kwa vile ndiye aliyeonyesha hilo
 
Last edited by a moderator:

Nani kama baba?
 
its more than that!! when you're sick, feeling down, made a mistake etc mama anakuwa wa kwanza kukufariji na kukupa ushauri. even when i'm angry sometimes my mom's voice can calm me na kunifanya nijiulize mara mbili mbili why nimechukia na inasaidia kuepuka kufanya "something i'll regret later". this is hard to find in other women so thats y tunasema mom's love is #1
he he heeee, wewe ndo una-feel hivyo, na inaapply kwako...
kuna wengine huwezi kuwaambia hayo maneno wakaelewa....
jamani pacha wangu Ablessed kapita hapa kweli? sijamsikia
 
Last edited by a moderator:
Nani kama baba?

mimi pia naweza kumsemea hivi baba yangu......
nilikuwa najua mama ananipenda..... but siwezi sema kiuhakika kabisa mama alikuwa ananipenda zaidi ya baba, nitakuwa namkosea. yaani nilikuwa naona wazi kabisa upendo wa baba kwangu....
nikikumbuka sheshe la wakati nataka kuolewa, yaani nilikuwa naona kabisa baba anahisi tu huyu mkaka hataweza kunipenda the way alikuwa ananipenda...... (his little girl, hadi nipo university, lol!)
Wanangu pia lazima walisemee hili kuhusu baba yao, ingawa wanajua mimi pia nawapenda
 
he he heeee, wewe ndo una-feel hivyo, na inaapply kwako...
kuna wengine huwezi kuwaambia hayo maneno wakaelewa....
jamani pacha wangu Ablessed kapita hapa kweli? sijamsikia
Jamani pacha wangu asante kwa kunibeep manake ningepitwa. Mimi niseme tu wale waliopata upendo wa mama kiasi kwamba hawaambiwi kitu wamshukuru Mungu kwani si wote waliopata nafac hiyo ya kupendwa. Kuna wengine nafac ya mama kwao ni ndogo mno nao hatuwezi kuwalaumu tuwape pole tu na kuwaombea. Kwa hiyo niwape hongera wote wanaoweza kusema ni nani kama mama just be blessed.
 
pacha nilishangaa tu kuwa sijakusikia hapa....
tunashukuru kwa mchango wako. na ndo nikawa nawaambia kuwa huwezi sema kwa usahihi kabisa kuwa mama anakupenda kuliko yeyote....
kwa upande wangu mimi hata siwezi ku-rank nani ananipenda sana kuliko mwingine
 
Mimi naweza kusema angalau baba alinionyesha pendo lake kabla ya kuanza kuwa na mambo mengi lkn mama sina kumbukumbu kama aliwahi kunipenda au kama hata ananipendaga. Wengi wana bond kubwa na mama zao lkn mimi sina kiukweli , ni rahisi kwangu kumwamini mama yangu wa kiroho na nahisi nampenda sana mama yule mwenzenu.
 
Back
Top Bottom